Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

kuna kamanda mmoja yupo humu
hahahaaaaa

kamanda nakusalimia sana pole na msiba
Dah!!!
Unanipa wakato mgumu sana ujue Hornet.
Napenda sana swagggg zai na pigo zao.
Kama anaingilika mie nijitose mazima
 
Naturally kijana wa kiume au jinsia ya kiume anatakiwa kuwa mkakamavu.....na ukakamavu ni haiba inayomfanya mwanamke ajione yupo salama mbele ya mwanaume......

Vijana wengi wanajua fedha ndio mtego kwa wanawake....la hasha isipokuwa UTANASHATI ndio hasa unaowavutia mabinti........

Valia mavazi nadhifu na manukato mazuri basi.......
 
Duh
 
Afu wengine wanaoongoza kwa utamu ni hawa wanajeshi....hasa umkute yule aliyejazia kifua na mikono...
I wish siku nimpate komandoo...
Afu sijui kwanini nawaza haya au kwa kuwa nimeshashiba ugali?
Nipo apa
 
nimekufananisha na dada mmoja wa group la Telegram huwa akituma voice note anaongea mambo haya tuna erect, hii comment yako inasimamisha "askari" wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…