Umaarufu unampa mtu sifa za ziada, kuna wanawake wa kawaida tu lakini kwa umaarufu wao mtu anamtamani wakati wanawake aina ile anao mtaani, same to huyo jamaa kimsingi yuko kama wengi tu tulivyo, sasa hiyo title ya kuuza sura na bosi mkuu dah atakuwa amewakaza ana[emoji23][emoji23]Huwa mnaliwa padogo tu dah... Yaani rangi tu!?
Duh!Yupo TCRA Idara ya Manunuzi na Ugavi
Hao ni viumbe wetu bwana lazima tuwale, ndivyo walivyoHuwa mnaliwa padogo tu dah... Yaani rangi tu!?
Hao dawa yao ni pesa tu .. si kula na kutembea...dawa yao hawa ni ukiwa hivi. Napataga wakati mgumu sana
View attachment 1730090
Nae kafariki kwaniπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί.
Yaan akikukumbatia...hahahaha ..alale salama kwakweli...
Pesa watakulia na Kukudanganya wanakupenda. Cha kuhuzunisha iyo hela yako atapelekewa mwengine anayemvutiaHao dawa yao ni pesa tu .. si kula na kutembea...
Si unakula unatembea, kupenda ni ishu nyingine..wala haitegemei mwili au pesaPesa watakulia na Kukudanganya wanakupenda. Cha kuhuzunisha iyo hela yako atapelekewa mwengine anayemvutia
Alikuwepo uwanja wa uhuru, Rais alivyoondoka uwanjani na yeye akaondokaYuko wapi
Wapuuzi hawa utawaweza kila kitu wanakaririshwa na kigogoKwani huyu si ndo walisema amedead kwa corona Nairobi?
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ah wap...yupo bwanaNae kafariki kwaniπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
MaguAlale wapi?
π π π πππKaribu dm [emoji847]
....na joto pia.Ana color tamu balaa
π€£π€£π€£π€£π€£..we unaelewa kumbe....joto lake sio la kawaida....na joto pia.
Color hizo wanakuwa good sana...
Asante Yesu.Ah wap...yupo bwana
Afu wengine wanaoongoza kwa utamu ni hawa wanajeshi....hasa umkute yule aliyejazia kifua na mikono...π€£π€£π€£π€£π€£..we unaelewa kumbe....joto lake sio la kawaida
Beautiful, salute to your dad [emoji119]Anae Binti Mrembo......kanaitwa Emmanuela!!!View attachment 1730113View attachment 1730112