Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Ungeuliza vitu vya maana. Kwa mfano kama chama chako kitatekeleza wito wa wanachama wake, wa kumtanguliza Zitto Kabwe mbele ya haki. Sio unakuja na kiherehere chako ukidhani kila mtu ni petty kama wewe. Hivi unajua Daniel Moi ndiye aliyemuinua William Ruto kisiasa na kimaisha? Soma historia kwanza kabla ya kujifanya mjuaji.
We r talking of current situation!
We are talking of current situation!
Mathew 8: 22 Jesus said, "Follow me, and let the dead bury their own dead"
Haijalishi hata kama hafla yenyewe ingekuwa ya kifamilia au hata ya Gideon Moi. Maturity ya William Ruto kisiasa or otherwise sio jambo la kubahatisha. Hata kwenye mazishi ya ndugu yao Jonathan Moi, William Ruto alikuwepo.Why not,if he was able to attend Jonathan's burial why not for mzee? This is state function and it will be handled by the state not Gideon moi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipelekwe kwenye ule uzi wa picha zinaongea, kaanza gadafi kukata ringi, akafuata nelson, muuaji nae kafuata.Wazee wetu mpumzike kwa Amani popote mlipo.View attachment 1346075
Sent using Jamii Forums mobile app
The killer is deadHii ipelekwe kwenye ule uzi wa picha zinaongea, kaanza gadafi kukata ringi, akafuata nelson, muuaji nae kafuata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi hata kama hafla yenyewe ingekuwa ya kifamilia au hata ya Gideon Moi. Maturity ya William Ruto kisiasa or otherwise sio jambo la kubahatisha. Hata kwenye mazishi ya ndugu yao Jonathan Moi, William Ruto alikuwepo.Huyu mzaramo anapenda tu umbea umbea na anadhani kila mtu ni mchawi kama viongozi wa chama chao.
Namuona piere Buyoya kushotoWazee wetu mpumzike kwa Amani popote mlipo.View attachment 1346075
Sent using Jamii Forums mobile app