Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Ila hii nchi kuna watu walikuwa na miradi mingi jamani eee yaan hata kadi tu ni kodi ya wanainchi!!!!
 
hata yale mambo ya kufuturisha ikuru yapigwe marufuku
 
umeingea vizuri ila umemaliza vibaya,nikuambie tu uislam hauna karne hii sio dini ya kuedit na matamko,aichokiamini muislam wa karne ya10 ndicho kinachoaminiwa mpk sasa hakuna tofauti,uzuri dini hii ni ya MUNGU haiongozwi na binadamu.

Hivi mtume na wafuasi wake walikuwa wanajilipua au kuua wapita njia?
 
Duuh...hii spidi si haba. Heshima hapa mtaani iko mashakani. Ngoja shambaboi aende kwao kwanza.
 
Sasa, tangazo linasema kwa mwaka huu. Hsta ishy ya sherehe za uhuru pia walisema ni kwa mwaka huu! Ina maana mwakani haya mambo yataendelea km kawaida?
 
Suppose press release hii ingetolewa kipindi cha JK? hali ingekuwaje!

Wakristo sio watu sensitive kukimbilia kwenye dini,kifupi sio watu wa Kulialia eti oooh tumeonewa ,mala ooo tunabaguliwa hiyo ni tabia ya akina naniliu
 

Usisahau na futari za kipuuzi pale Magogoni wanakusanyana kuteketeza kodi kwa vyakula lundo nimefurahi kupigwa marufuku ujinga wa aina hii,kadi bandika kwenu na futari kale mama ako bravo JPM.
 
Wakristo sio watu sensitive kukimbilia kwenye dini,kifupi sio watu wa Kulialia eti oooh tumeonewa ,mala ooo tunabaguliwa hiyo ni tabia ya akina naniliu
Acha ujinga wewe, kila teuzi ya JK mlikuwa mnalialia humu kila siku, hadi shule za kata mnazilalamikia eti JK kawajengea waislamu wenzake!
 
Serikal itarudisha vp pesa walizotumia ktk campaign

hawajui lolote yamejazana m,a,jn,g,a humu yanashabikia kiini macho na hawajui hizo hela zinazookolewa japo ni hakuna zinapita mlango gani na kufanya maendeleo kwa uthibitisho upi,hapa kinachoendelea ni kwamba pesa ni ndogo ya kuratibu vitu hivyobasi zisiguswe zijaziwe na hizo zitakazo kusanywa waanza na kiini macho cha elimu kwanza,halafu waendele na sarakasi zingine,vitu kama hvyo visiwe kigezo kuna hapo mtaokoa bilioni ngapi?kama si ni kujitafutieni umaarafu wa kazi kumbe ni mchezo wa kuigiza wenye wapenzi wengi,maana sehemu zenye ufisadi hata moja sidhani kama itaguswa
 
kwa hiyo mji wetu hautapendeza tena, basi na wapige marufuku video kwenye sehemu ya kusubiri wageni.
Usiwe na shaka, ni sehemu chache sana za umma zilizokuwa zinapambwa. Taasisi binafsi ndio huwa zinamwaga mapambo na hilo katazo halizihusu. Utaendelea kuyapata mapambo kwenye mabenki, shopping malls na mahoteli makubwa yote kama kawaida
 
Kwa mtindo huu, watu wasahau muswada wa mahakama ya kadhi kurejeshwa bungeni
 
Ama hakika namba hii inasomwa sasa.
 
Acha ujinga wewe, kila teuzi ya JK mlikuwa mnalialia humu kila siku, hadi shule za kata mnazilalamikia eti JK kawajengea waislamu wenzake!

Ahaa kumbe ni HUMU JF
 
Upele umepata mkunaji ..... sasa ataukuna hadi katikati ya makalio
 

Aiseee huu mwaka tutashuhudia mengi hatukawii kusikia serikali ilikuwa ikichangiikichangi garama za harusi halafu mtuambie hii nchi masikini.
 

Hivi ina maana kabla ya JPM kulikuwaje?
 

si hakuna pesa hazina ya kuratibu ,ni jadi ya watumishi wa serikali kufanya hivyo ifikapo christmas,issue ni kwamba nchi hii inahela nyingi sana ambazo mambo haya ya kadi ni vitu vidogo sana kama kulinganisha 500 na 2000000000 gharama ya hivo vikadi,hapa ni propaganda sehemu zenye pesa wala, wapo kimya sana,na kwasababu maoni ni ushabiki bila tafakari ndo kuandaa shimo kubwa halafu vipofu wanaambiwa kuna shimo njia hiyo wanajibu "tumependa tupite njia hii hilo shimo sisi hatulioni"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…