umeingea vizuri ila umemaliza vibaya,nikuambie tu uislam hauna karne hii sio dini ya kuedit na matamko,aichokiamini muislam wa karne ya10 ndicho kinachoaminiwa mpk sasa hakuna tofauti,uzuri dini hii ni ya MUNGU haiongozwi na binadamu.
Kwangu mimi hali ingekuwa ya kawaida...
Lakini kwa mdini/mbaguzi angeona suala hili ni baya...
Sidhani kama wewe ni Mdini...
Duh kumbe kuna watu walikuwa wana miradi kila sehemu, nimeamini Tanzania sio maskini, ila tuna viongozi vilaza tu, wasio na uzalendo hata chembe,
Sijui ni cheap popularity au ndo mind games tunachezewa. Yani hata hili ni la kuita press Kweli?
Hatutakua na tatizo iwapo pia mkwara utatolewa kuhusu kufuturisha.
Zisipochapishwa tutakua tumeokoa shs ngapi?
Daa ule mwaka ambao kanumba alikufa kuna wizara moja ilitoa mil70 kuwezesha msiba huo,asee alinichefua vibaya huyo waziri
mbona mtanyooka!
mkuu unamaanisha kweli? kwa nyie kabisa ninavyowajua humu! Kikwete alikuwa hata akiteua muislam tu ni nongwa. au unajifanya hamnazo sasa.
anyway; magufuli awanyooshe kweli kweli.
rais alisema sekta manunuzi ya umma ni mdudu mwingine na sasa naona anazidi kulibinya jipu mpaka kiini kitoke ...mungu amtangulie.