Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

umeingea vizuri ila umemaliza vibaya,nikuambie tu uislam hauna karne hii sio dini ya kuedit na matamko,aichokiamini muislam wa karne ya10 ndicho kinachoaminiwa mpk sasa hakuna tofauti,uzuri dini hii ni ya MUNGU haiongozwi na binadamu.

Mhh NO COMMENT
 
mkuu unamaanisha kweli? kwa nyie kabisa ninavyowajua humu! Kikwete alikuwa hata akiteua muislam tu ni nongwa. au unajifanya hamnazo sasa.
anyway; magufuli awanyooshe kweli kweli.


Kwangu mimi hali ingekuwa ya kawaida...

Lakini kwa mdini/mbaguzi angeona suala hili ni baya...

Sidhani kama wewe ni Mdini...
 
Duh kumbe kuna watu walikuwa wana miradi kila sehemu, nimeamini Tanzania sio maskini, ila tuna viongozi vilaza tu, wasio na uzalendo hata chembe,

Zisipochapishwa tutakua tumeokoa shs ngapi?
 
Sijui ni cheap popularity au ndo mind games tunachezewa. Yani hata hili ni la kuita press Kweli?

Hii ni kiki inatafutwa siyo big deal kiviiile. Baada ya Bulldozer Kupiga marufuku Sherehe ya Uhuru,Siku ya UKIMWI (nasubiri mwenge pia ),Mbona mwaka jana alikuwa kwenye nafasi hiyo hiyo lakini hakutoa tamko?
 
Hatutakua na tatizo iwapo pia mkwara utatolewa kuhusu kufuturisha.

Sioni tatizo kama instead of celebrities wataalikwa those in need. Kwa suala la kufuturu, wafuturu na certain groups, mfano the poor/ombaomba, vilema, yatima, wajane etc. Pesa itumike vizuri ndio lakini wasisahau kugive back to the community.
 
Bado kabisaaaaaaa. Naomba mlieko karibu na Mh. mshaurini kuhusu mbio za mwenge wa uhuru.
kuna kazi ndefu mbele yetu.
 
Tukifanikiwa kupunguza hizi Ten % kile kikapu cha kuomba nje ninauwakika tutakitupa au kuchoma moto..
 
mkuu unamaanisha kweli? kwa nyie kabisa ninavyowajua humu! Kikwete alikuwa hata akiteua muislam tu ni nongwa. au unajifanya hamnazo sasa.
anyway; magufuli awanyooshe kweli kweli.

Mimi si mdini...Na siendekezi unyama huo wa udini...

Ubaguzi wa aina yoyote ile ni unyama...
 
Hivi kwani tender za kutengeneza kadi zilikuwa hazijatolewa!? Na kama zilitolewa zitarudishwa?
 
Inamaana walikuwa wanatengeneza kadi kwa kutumia fedha zetu showan kabisa
 
Ndugu zangu katika imani kwa mwendo huu sidhani kama mwakani tutapata futuru pale ikulu. Yalabi tobaa tuepushe sie waja wako na hichi kikombe cha pombe.... Amin
 
attachment.php

povu la soda tu hilo fedha nyingi zitaokolewa ili kuziba macho watanzania lakini tofauti ya mwenye nacho na asokuwa nacho itabaki pale pale tu. maendeleo Tz itabaki kuwa ndoto. mtakuja kunikumbuka Tz ni nchi mbaya Zaidi ulimwenguni kwa kufuja fedha za umma kwa maslahi ya wachache.
 
Back
Top Bottom