Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

Bora aifute ofisi ya CAG, wanalipwa mishahara bila kazi za kufanya! Awamu ya 5 ni upigaji tu!
Intarahamwe anajifanya mzalendo kwenye nchi isio yake. eti kagame ndio amenifundisha uongozi. Amekufundisha uongozi au upigaji?
Asante sana mkuu.
 
Kashindwa kuwaondoa machangudoa,
Kashindwa kuwaondoa kina Matonya, kashindwa kulazimisha kila ofisi kuweka picha ya rais
Kashindwa kuwapima watu tezi dume
Ajawahi fanikiwa jambo lolote
 

Mayanga ndio mkandarasi wa Chato Airport? Hivi Mayanga ana projects ngapi za umma sasa hivi?
 
Ofisi yenu ufipa haikupitia hii kabla ya kupost au ndiyo uwezo wenu umeisha hapo.
Yaani hujui hata Professor Mbarawa ni Waziri ktk Wizara gani?
Soma uelewe usikurupuke unajidhihirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…