Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu.Bora aifute ofisi ya CAG, wanalipwa mishahara bila kazi za kufanya! Awamu ya 5 ni upigaji tu!
Intarahamwe anajifanya mzalendo kwenye nchi isio yake. eti kagame ndio amenifundisha uongozi. Amekufundisha uongozi au upigaji?
Ajawahi fanikiwa jambo loloteKashindwa kuwaondoa machangudoa,
Kashindwa kuwaondoa kina Matonya, kashindwa kulazimisha kila ofisi kuweka picha ya rais
Kashindwa kuwapima watu tezi dume
Ndege kwanza tuwakomeshe mabeberu watajuaje zipo tena cashCCM OYEEEEEEEEView attachment 1246253
😆😆😆Ngoja kwanza kidogo........
Ajawahi fanikiwa jambo lolote
Tunajikomoa tuNdege kwanza tuwakomeshe mabeberu watajuaje zipo tena cash
Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads
Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa
Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza sababu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutofanya ukaguzi katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Wakala wa Barabara (Tanroads).
Akizungumza katika mjadala wa bajeti hiyo leo Jumatatu, Aprili 23 bungeni mjini Dodoma, Silinde amesema, “Kuna usiri gani wa kuleta taarifa ya ukaguzi wa ATCL bungeni. Isije kuwa tunapigwa fedha kupitia shirika hili. Tunataka waziri atueleze sababu ni nini?
“Pia ukaguzi wa Tanroads nao hauonekani na kuna taarifa huko mitaani kuna miradi hewa ya barabara iliyogharimu Sh282bilioni, tunataka kujua thamani ya barabara zinazojengwa kupitia ukaguzi wa CAG. Mtueleze kwanini hauletwi hapa bungeni.”
Kwa mfano: Hii Kampuni iliyokula Bilioni 14 bila kujenga hata mita moja pamoja na umuhimu wa barabara ya Makutano, Natta, Mugumu, Loliondo mpaka Mto wa Mbu kwa utalii Serengeti ndio imejenga Chato Airport, unajua kwanini?
View attachment 1245587
Sayansi na uchumi wapi na wapiTunajikomoa tu
Ndiyo hapo tunachota maji kwenye tenga alafu tunajidai uchumi wetu unapaaSayansi na uchumi wapi na wapi
StupidHao ndiyo wabunge tunao wahitaji hapa Tanzania maana wanakerekwa na mayumizi mabovu ya kodi zetu
Soma uelewe usikurupuke unajidhihirishaOfisi yenu ufipa haikupitia hii kabla ya kupost au ndiyo uwezo wenu umeisha hapo.
Yaani hujui hata Professor Mbarawa ni Waziri ktk Wizara gani?
Ukishatukana ndiyo uchumi wetu unakua kwa 7%?Stupid
. johnthebaptist. Njoo huku nyumba inaungua. @johnthebabtist. YEHODAYA. njooni huku muokoe jahazi
Yaani hawa manyumbu wa lumumba ndiyo wanalikwamisha taifa letu kusonga mbeleSoma uelewe usikurupuke unajidhihirisha
Hili janga . Lucas philipo. ni mojawapo ya kizazi cha kinafiki wanasifia hata mambo ya hovyo ni kama kenge wao kwenye msafara wa mamba wapo tu hata hawajitambuiUkishatukana ndiyo uchumi wetu unakua kwa 7%?