Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

Tujue kwanza wewe na mpenzi wako mnatumia vileo?maana inabidi turned hiyo balance yako inabalance kiwanja gani?
 
inategemea mzee chakula ni gharama kubwa tofauti na kitu kingine hasa kwenye hotel labda aende kwa mama lishe ila hotelini laki ndogo
 

Mtumie Mama hiyo hela, hawa wanawake hawana maana,
 
Kwhy unaamini kabisa mtu hawezi kutoka na mpenzi wake kwa bajeti ya 100K.

Hivi unahisi dunia hii inajzungusha kwenye kichwa chako?
Kwamba maisha fulani ndio standard.
Outing sio kwa ajili ya kwenda kufakamia chakula, hiyo 100,000 sio mbaya itawatosha kubadili mazingira na kuhave fun.
Nendeni Coral beach hotel - Masaki
Usafiri, Ubungo -Coral beach hotel 30,000/= go and return.

Juice, 7000@2 = 14,000
Food, 56,000/= (Mtapata chakula cha kuanzia 25,000, itategemea ni nini).

Mtapata na muziki laini mkipigwa na upepo wa Bahari.
 

Attachments

  • E460AFED-9383-48DC-AD35-692EE2977CB4.jpeg
    317.8 KB · Views: 5
Dar Hyatt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…