Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Huwa mnafikia Moro ya uswekeni. Karibu huku forest hill au Lit.

Kuna maeneo Bigwa yako poa saaana.

Hata mtu akitaka kuishi nenda kaishi Forest Hill mliman kabisa huko. Asubuhi snow
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waluguru wameanza tabia zetu wachagga hapo moro kutouza maeneo?

Yaan nachukia unakuta kinyumba cha matope town kabisa katikati ya mji jamani[emoji24] wati iz rong wiz u waluguru?

Halaf wanavyojipandisha thaman kuiza maeneo mil 300 sasa[emoji23][emoji23] waache ujinga ujuee... mapori yoote hayo? Mxierw...


Kwakeeli ushuani bado sana. Nimepita huko ila hapana. Majumba chakavuu.. mpya moja moja sana.

Band last time nilienda malaika band na ndo last time nilimuona best yangu seth bikira wa kisukuma jamani[emoji24] tumenunianaaaaa.. haya banaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekula nini Leo dea?
 
Huwa mnafikia Moro ya uswekeni. Karibu huku forest hill au Lit.

Kuna maeneo Bigwa yako poa saaana.

Hata mtu akitaka kuishi nenda kaishi Forest Hill mliman kabisa huko. Asubuhi snow
Snow ya kwiooo[emoji23][emoji23] tuna miji miwili hapo.. huko forest na hapo town town hivi.. kuna appartments hizo ziko mjini ila bado maswekeni tu...
 
Hahahahaaa unaonekana uko below 30..tulikua na mawazo kama hayo yako🤣🤣! Mimi nimefaulu vitu viwili tu..nna garden la mauaaaaa....na jiko langu nalipenda..!hizo rooms for clubing ni utoto tu huo ukikua utaacha na baada ya majukumu kukuzid🤣🤣! Sijui basketball!
Mwenzako sikua napenda migomba jaman kupandwa eneo la nyumba🤣🤣! Upande wote wa kiwanja cha chini una mamigomba.nayaangaliaga nasema nhii maisha haya!yaani naenda magereza nauziwa migomba nakuja napanda kbs..dah maisha hayatabiriki kbs! Unajua kudecorate bafu la kawaida ni zaidi ya 2m? Fikiria tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekula nini Leo dea?
Halaf nna hasira hapaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan maswekeni you know?
 
😂😂😂
 
Below 30 mimi kigagula?[emoji23][emoji23]

Le kigagulaz here.
Sasa migomba kuna mchagga anaachaga kupanda.? Hapa tunakula ndizi dear. Naongelea mjengo naoutamani. Yaan mpk kuku nutafutaaa... hivyo visehem vya starehe sasa inategemea na mood swings. Leo nina hamu ya kubang i do. Leo nikanywe mocktail toproof basi naenda. Leo ni garden migomba sijui mboga mboga i go. Nataka na ng'ombe plus kuku. Naenda jenga sijui kiluvya huko sijui mlandizi sijui lkn sitaki sehem yenye fujooo... halaf mtu akiwa na hela kwa kitu anachokipendaa walaaaaa... anafanya tuuu.. sasa sina starehe nyingine nafanyaje
 
Samahani dada ushapata kiwanja?😀😀
 
Snow ya kwiooo[emoji23][emoji23] tuna miji miwili hapo.. huko forest na hapo town town hivi.. kuna appartments hizo ziko mjini ila bado maswekeni tu...
Hapa kwenye nyumba jipe muda utembee mkuu! Nakupa maeneo tulivu yakuishi moro... Forest, bong'ola,kola,Kitungwa, liti, iyo mitaa ukijipa muda unaweza kuisi haupo moro kwa majengo mazuri yaliyopo ni mitaa haina kelele utulivu wa hali ya juu kama mtu ambae hapendi kelele hapa utanielewa... Sio unaishi chamwino kila sehemu ina uswahili chamwino ni kama dar manzese
 
Kuna area ni low density utapakubali .huko forest nw hakukamatik kwa bei za ! All in all moro hali ya hewa ni nzuri kuishi ..
 
Najua kuwa ipo Morogoro,lkn ni maeneo gani??.
Ukitoka Msamvu Stand Utakwenda Hadi Sehemu Inaitwa Junior Seminar, Mbele Kidogo Utakuta Ujenzi Wa Daraja La SGR Ukitoka Hapo Utatembea Kidogo Kushoto Baada Ya Secondary Utaiona


Ukitokea Dar es Salaam Ukifika Kingolwira Baada Ya Mtelemko Ukivuka Daraja Upande Wa Kulia Utaona Cate Hotel Ni Sehemu Nzuri Sana
Unaweza Kula Cash Yako Taratibu
 
Napapata forest mkuu... napapata ipasavyo. Ni kweli kabisa pametulia.
Ila bei za maeneo haziendani kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…