Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Kukaa ulikaa mpaka kujua bei za vyumba! [emoji23][emoji23]
Ok hapo sawa mapumziko yaendelee
Yani kila jioni lazima niwe pale... Nakula bia zangu 4 naenda kulala!!! Yes njia ile mbaya ila gari yangu kubwa nafukia shimo" changamoto yake sa hii ni baridi aise ikifika jioni sa12 ni balaa...Hapana ni picha za current, camera tu ndiyo haina ubora. Unaendaga kugonga beer kule daily? Ile njia ya mawemawe inanikataga vibe kidogo.
Tulishawahi kufanyia Youth camping pale, na tulikesha kabisa nje. Baridi ilitukomesha kwa kweliYani kila jioni lazima niwe pale... Nakula bia zangu 4 naenda kulala!!! Yes njia ile mbaya ila gari yangu kubwa nafukia shimo" changamoto yake sa hii ni baridi aise ikifika jioni sa12 ni balaa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Raha ya Moro uwe na gari utaenjoy! Kuna sehemu inaitwa Lugono wanachoma mbuzi kule karibu na bwawa la Mindu siku hzi wamezuia samak zao...sema kuna machimbo kwa wanaume wakware balaa yako huko forest! Unaweza hisi umepak gari room kbs[emoji38]!
Karibuni tena! Mkiwa moro mtutafuteTulishawahi kufanyia Youth camping pale, na tulikesha kabisa nje. Baridi ilitukomesha kwa kweli
Karibuni tena! Mkiwa moro mtutafute
Mimi Moro Town huwa natumia baiskeli kukata mitaa naanzia Mazimbu,Town,Relwe,Mwere,Mtawala,Msamvu mpaka Kihonda.Raha ya Moro uwe na gari utaenjoy! Kuna sehemu inaitwa Lugono wanachoma mbuzi kule karibu na bwawa la Mindu siku hzi wamezuia samak zao...sema kuna machimbo kwa wanaume wakware balaa yako huko forest! Unaweza hisi umepak gari room kbs😆!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] karibu sana huwezi kuniona huwa nakaa kaunta kwa chini kushoto kumejificha ivi... Na simu yangu mida huo nakuwa bize na jfNtakuja tena Nguzo, nichungulie mkaka anayekunywa beer 4[emoji38][emoji38][emoji38]
Hahahahaha. Haswa ukiwa unapumzika baada ya kuvua viatuLile dongo jekundu pia ni tatizo
HahahahaDuh kweli nimeona siku-quote comment yako but i think uko hivyo, ila yote kwa yote you are classy woman. I wish nikuone kwa jicho langu ili nithibitishe ninavyokuchukulia.
Waswahili ni kama mimi comments zangu tu humu jukwaani zinareflect.
🤣🤣🤣
Niliwah kupanga kwa kina Hawa..near mkurugenzj wa maji kihimbwa road😉!Forest home kwetu...
Msalimie IGP mstaafu Omary Mahita ... Na mzee Godfrey wa hapo karibu na Forest secondary.
Mwisho wa mwezi nitakuwa home hapo karibu.
Utakuwa una pumzi aiseMimi Moro Town huwa natumia baiskeli kukata mitaa naanzia Mazimbu,Town,Relwe,Mwere,Mtawala,Msamvu mpaka Kihonda.
Kwenda nje ya mji na pori ni pikipiki namtoa boda kipande cha siku, Moro kwa waendesha baiskeli na bike njia ni rafiki Sana cycling lane nyingi.
Vipi vyumba na mabafu yao? Vitanda ni chuma au mbao?Nyau wewe umeniamulia leo[emoji38][emoji38]
Tulikuwa tu na issue yetu nyingine pale, nikaenda kuulizia bei za vyumba ili next time nirudi kulala sasa.[emoji6][emoji6][emoji6]
Sio hapo kwenye Kota za Idara ya maji alongside Barabara inayotokea morogoro secondary kuelekea kwa waluguru milimaniNiliwah kupanga kwa kina Hawa..near mkurugenzj wa maji kihimbwa road[emoji6]!
Unamfahamu dija[emoji846]
Vipi vyumba na mabafu yao? Vitanda ni chuma au mbao?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] karibu sana huwezi kuniona huwa nakaa kaunta kwa chini kushoto kumejificha ivi... Na simu yangu mida huo nakuwa bize na jf