Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
I think .near kota za usalama wa taifaSio hapo kwenye Kota za Idara ya maji alongside Barabara inayotokea morogoro secondary kuelekea kwa waluguru milimani
YeaaahI think .near kota za usalama wa taifa
Raha ya Moro uwe na gari utaenjoy! Kuna sehemu inaitwa Lugono wanachoma mbuzi kule karibu na bwawa la Mindu siku hzi wamezuia samak zao...sema kuna machimbo kwa wanaume wakware balaa yako huko forest! Unaweza hisi umepak gari room kbs😆!
Nimekuelewapo, karibu sana nkamu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila picha ni za last week, nimezifanyia makaratee ndiyo maana tarehe imesoma ya leo
Hadi ukazipate ni leo😜(jokes) Moro hakuna hata sehemu utembezwe mkuu...ni padogo mno!We Wangari nitaomba unitembeze Moro siku nikizipata...
Pamechalala nako siku hiz..ukipanda kule juu unaweza shinda siku nzima!...GM HOTEL. Mbele ya NMB uhuru, karibu na DON TOWN CLUB.
Dah..mwanamke wa madizini unamuwezaje mkuu😃😃! Madizini ni uswazi sijapata sikia !Yeaaah
SEma forest siku hizi Hakuna pisi Kali
Tulikuwa tunajiendea zetu madizini kusaka mbususu
Hadi ukazipate ni leo😜(jokes) Moro hakuna hata sehemu utembezwe mkuu...ni padogo mno!
Heeeh wee dea usnambie pale pamefikia hatua hiyo.Pamechalala nako siku hiz..ukipanda kule juu unaweza shinda siku nzima!...
All the best mkuu...ni ww tu useme hata tudrive had dom kula bata ! Ni wewe tu ...! LolWala, ni swala la muda mfupi, tu mgodi unatema.
Inapendeza kuwa na mwenyeji, yaani binafsi napenda hivyo.Hadi ukazipate ni leo😜(jokes) Moro hakuna hata sehemu utembezwe mkuu...ni padogo mno!
[emoji3][emoji3][emoji3]Dah..mwanamke wa madizini unamuwezaje mkuu[emoji2][emoji2]! Madizini ni uswazi sijapata sikia !
Yaan unaona kbs kila mtu anaclassy zake za bata aise..bora uende kule juu forest! Moro bata bado kwakweli!hata hao mademu wanaowasema wengi wako 1st yr nadhan madem wa 1stbyr unawajua mapigo yao..unamuona kbs huyu katoka Malinyi kaja SUA 1st yr!
Ila inategemea unataka vibe gan... ..pamepoaaa...hapana maajabu! Sehemu yenye masista,wakaka fulani😜 classy ukweli ni Don hapa near samaki samaki...yaan pale unajikuta uko katikati ya changamoto😀😀! Wakaka classy na wadada classy wako pale!Heeeh wee dea usnambie pale pamefikia hatua hiyo.
Haya asante best[emoji3][emoji3][emoji3]
Si unajua Michecheto ikikubana ndugu yangu huchagui.
Karibu kwetu tuchome mbuzi siku 1
Tena bia zenyewe serenget lite 2000🙂!Hahaha uko sahihi aisee. Kila mtu na tastes na level zake aisee. Hatuwezi fanana..
Kwa mimi ninayependa utulivu angalau hapo cate hotels pana hadhi.. huku kungine mashenzini tu. Wengine wanadangia hadi bia. Mashoga humohumo. Nani anataka
Uliza tu hapa mkuu..au unaonaje?Wangari Maathai nimekuja PM naona umefunga, nimeona una eperince na maeneo mengi ya moro, naomba pm tuongee kidogo.