Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

wew ni wa kishua?
Wa kawaida tu.
Ila mshua Hakuwa ana tuharass .

Alafu tuko watoto wanne wote wa kiume.
kwanza mm nilivyomaliza form 4 ,
tulitoka na mshua tukakaa bar na akawa amenunua Kondom na kunifundisha jinsi ya kuvaa na kama nikikosa hela nimwambie.

Na akasema ukiwa na mwanamke usimfiche, mlete tumuone na uwe nae huyo huyo mmoja.
Kwahiyo alishaniandaa nisiogope kuwa na girlfriend na nisiogope wao wakijua.
 
aiii mshua wako ni mtu poa sana,,, naamini na wew utakua mtu poa kama mshua wako eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…