Wanawake wengi siku hizi wanaingia kwenye ndoa na matarajio yao, wanaingia kwenye ndoa na michepuko yao, mara nyingi wanawake wanaochepuka ni walikuwa na hao wapenzi wao hata kabla ya kuolewa.Nitolee mifano hai.
Mwanamke anaichokaje ndoa?.
Bila kuingiza Matendo ya mwanaume.
Mimi ni kijana wa makamo. Na nimeshuhudia ndoa nyingi na talaka karibia 7 hivi.
nitakutolea Mifano hai.
wewe mzee fala, utaanza kula matusi muda si mrefuDogo ameona ainamie kabisa ili kumgusa Makebo!
si ndio kazi yake hiyo kubonywa bonywa au kukaliwaVijana wana balaa tena wanalibonyeza kama button za Remote huku nyimbo za Blues zinapigwa
UNAULIZA "NDUMBA" dukani kwa mhehe!Kwamba wanaume wengine hawawezi kumshika kama hivyo?
UNAULIZA "NDUMBA" dukani kwa mhehe!
Hata mimi ni kijana wa makamo vile vile niko kwenye ndoa for ten years kuna ndoa mbili za rafiki zangu zilitia njiani ni baada ya wanawake kupata pesa kuliko waume zao
Then mwanamke huyu wewe utamtoa wapi?Mwanamke akiwa na hela, mpe majukumu zaid ..hela yake itumike ipasavyo.
Ila ukijihisi inferior , bas utakuwa unalalamika na kuna vitu atafanya utaona anakufanyia dharau kumbe sio..na ww kwasabbu kupandwa kichwan ni mwiko, mnaanza kulumbana.
Mwanmke mwenye hela mpe majukumu yote ya kwako, alipe ada . Alishe familia , asaidie ndugu zake, ww lipa bills mbili tatu za nyumba.na unakausha.
Kumbe unaongelea neno tuachane? Mwanamke akawa anasafiri bila taarifa, anachelewa kurudi nyumbani, mwisho Mwanamke akaondoka na akamuacha jamaa na watotoAlaf Mwanamke baada ya kupata wadhifa ndio akasema waachane?.
Au alisema kuwa hawez vumilia mambo ya mume wake kwasababu haya yeye anaweza akajenga na kuwa na mali zake?.
Mwanamke akiwa na hela, mpe majukumu zaid ..hela yake itumike ipasavyo.
Ila ukijihisi inferior , bas utakuwa unalalamika na kuna vitu atafanya utaona anakufanyia dharau kumbe sio..na ww kwasabbu kupandwa kichwan ni mwiko, mnaanza kulumbana.
Na yeye akiona una mgasi gasi sana. Siku ukitaka talaka. Anakubali kiroho safi.
Mwanmke mwenye hela mpe majukumu yote ya kwako, alipe ada . Alishe familia , asaidie ndugu zake, ww lipa bills mbili tatu za nyumba.na unakausha.
Sasa si jamaa kasema mwanamke ana wadhifa kuliko mwanaume.Then mwanamke huyu wewe utamtoa wapi?
Au utamzaa mwenyewe?mwanamke alipie wanao ada?anunue junia la mchele sijui mkaa wewe umekaa tu?labda kutoka sayari nyengine siyo hawa.
Mbele ya wazazi sio sahihisi ndio kazi yake hiyo kubonywa bonywa au kukaliwa
Kwani wazazi hawajui kuwa unayabinya binya mkuuMbele ya wazazi sio sahihi
Safi sanaKamshika tako mbele ya wazazi🚮
Unasapoti kushikwa tako au unapingaSafi sana
Kuna mjasiriamali mmoja wa vifaa vya ujenzi Insta alipost picha yake gauni mpasuo unaonyesha uvungu wa mapaja. Wenzie wanamsifia ooh umedamshi. Nikawaambia acheni unafiki mwambieni ukweli yupo nusu uchi.
Baada ya hapo akafuta
Unakula nini mchana nikutoe lunchUnasapoti kushikwa tako au unapinga