Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

Naamini umenipata vema mkuu. Wkt mwingine unakuwa sehemu mzinga lazima nyuki wakufikie
 
Walikupigia wakijua hutapata au hustahili,Sasa uliwashangaza kupata
Rizki au mafanikio ni mwanzo wa chuki.
Usiache kazi,piga kazi,Ila kuwa mwangalifu wasikujue kiundani,ishi nao kwa akili.
 
Pole sana Mama Edina
Umepatwa?
 
Kosa kubwa nililofanya ni kwenye story zangu niliwaeleza background ya maisha yangu. Naona wanatumia taarifa hizo kunikosesha amani
Pole mkuu.
Ila usirudie tena hilo kosa ikiwa utaenda kufanya kazi sehemu nyingine na stop kuendelea kutoa taarifa zako tena
Moja ya kosa kubwa maeneo ya kazi ni watu kukujua undani wako.
Always keep your life private na ikibidi kutoa taarifa toa ambazo hazitakuwa na madhara.
INFORMATION IS POWER SO KEEP IT.!
 
Mimi kuna bossi wangu, tena nimemzidi hadi umri.
Kuna fursa ilijitokeza akaniambia niombe, kumbe na yeye aliomba. Kakosa yeye nimechaguliwa mimi! Ananipangia kazi si mchezo, hadi tarehe yakupaa pipa amenipangia kazi.
nafaa kukumbusha kumbusha kila saa.
Ulaya kuzuri 😜
 
Naamini umenipata vema mkuu. Wkt mwingine unakuwa sehemu mzinga lazima nyuki wakufikie
Ukiwa normal, no one will judge you, ila wengi wetu hutaka kua above all.

Kupendeza sana awe yeye, mzuri awe yeye, mfanyakazi bora awe yeye, apendwae na bosi awe yeye. Hapo lazima uchukiwe tu, coz kuna vitu utafanya ili uprove wenzio sio bora kama wewe, na hapo ndo chuki, husda na ubinafsi hutokea.
Na ukitaka moja ya hayo juu lazima ukubali kuchukiwa tu.
 
Mm kweny kituo changu cha kazi

Naona watu wote wanafanana
Machawa
 
Hujanielewa
Yan
Wanazitumiaj hzo background info zako kama fimbo.
Ya kukuadhibu ww
Moja ya mambo niliwaeleza Niliwaambia wazazi wote walifariki nilisomeshwa na wasamaria wema na nikafanikiwa kuwa kwenye top 10 of form four students kwa mwaka wetu. Sasa hiyo story imekuwa ikijirudia hadi nakwazika yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…