Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu


Be professional usi entertain bullshit kazini na usiwe average worker ( mnafiki, mwenye wivu, chuki na mbea) always focus kwenye vitu vyako inalipa sana hii njia imenifanya ni grow sana na kufanya mambo yangu ya ziada mengi na pia mbususu zimeniheshimu sana kwa hii strategy na nimezichakata sana maofisini be BOLD and focused utakua bidhaa adimu sana kazini
 
Dah kuna watu wana nongwa. Kwetu ilitokea training ya South miezi mitatu Senior Supervisor akampendekeza dogo alieko Intern tena anakaribia kumaliza muda wake.

Ikabidi HOD aingilie kati ili aende jamaa ambae ni mwajiriwa permanent.

Sababu ni fitna na chuki tu.
 
popote ulipo ma,......... wewe ni fala wachaga mnabagua sana makazini kunae hilo dubwasha labkichaga yan as long as we n mchaga kwake utateleza uwe kabila lengine au mtu tofauti na yeye hakuna rangi utaacha kuona, halaf kwenye idara yangu nimekuta ka circle flan hivi ka kujuana bas naishi as long i dont exist kwa ofisi, bahat ofis yangu imejitenga na wao hii ndio nafuu lakini ningekoma
 
Mama,

Umetumia lugha ya picha...

Weka wazi nini kimekukuta..
 
Kosa kubwa nililofanya ni kwenye story zangu niliwaeleza background ya maisha yangu. Naona wanatumia taarifa hizo kunikosesha amani
Wife alinifundisha falsafa nzuriii na siku zote hupenda kui cement usijenge mazoea sanaa na watu pia wasikujue in & out eg. majirani,kazini, chuoni,shuleni
Wawekee mipaka a.k.a fence wasikujue saana
 
Hii ilinikuta miaka hiyoo bandarini kwenye mambo ya clearing watu wanaongea kiRombo ofisini....aah nilikonda....
 
Ofisi yenu hapo ground flow Left wing nilidhani inaendeshwa kimataifa bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…