Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

Hongera. Ndio maana ofisi kwetu hamna hayo mambo ya best performer maana tunaamini katika team work. Any accomplishment inakuwa regarded as team achievement.
 
Mambele kutamu sana mkuu haswa ukiwa unaenda na kurudi!
 
Nilijua ni Mimi tu
 
Sure.....
Kuna ka-position flan nilikua nako kwa muda wa miezi kadhaa ,kukawa na tufitna na majungu ya hapa na pale .....

Nikaomba kupumzika ,nikakubaliwa na Boss nikae pembeni kutokana na changamoto flan flan binafsi........

Vita ya BAADA ya kuwa out of hako ka-position imekua kubwa kuliko kabla ya kuwa na wakati nikiwa ............🤣🤣🤣🙌

Naunga mkono hoja kwa 100%. Achana nao binadamu achana nao kabisa naomba sana Mwenyezi Mungu niwe na kifua mambo yangu nisiropoke ropoke 🤲 maana najua wapi nilikosea.
 
Daaah, pole mkuu. This life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…