Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Asa jicho la kulia inakuwajMguu ukicheza, mgeni.
Jicho la kushoto, msiba.
Mkono wa kulia kupokea fedha.
Mkononwa kushoto kutoa fedha.
And it works.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa jicho la kulia inakuwajMguu ukicheza, mgeni.
Jicho la kushoto, msiba.
Mkono wa kulia kupokea fedha.
Mkononwa kushoto kutoa fedha.
And it works.
Inaashiria mwili haupo sawasawa. Kwa mfano mimi ikitokea hivi hivyo naweza kuugua homa.Mfano pua ikicheza Ina ashiria nini mostly katika maisha ya KILA siku mkuu ??
Waite
Anyway maanake yupo kwenye siku zakeeee(hedhi)Waite
Yupo blidiSijui niliwahi kuambiwa na pisi leo sikupi kwasababu simba wanacheza, sikumuelewa.
Justify with not less than two reasonsNi kama tetemeko la ardhi linavyotokea
Mkuuu ni nadra kusikia mtu akiwashwa nn...... 😂😂😂😂Utasikia mtu akiwashwa mkono anasema atapokea pesa, akiwashwa mguu atapata safari ila ni nadra kusikia mtu akiwashwa na kinyeo akatoa tangazo na kubashiri atapata nini kwa mlingano wa kinyeo.
Sio nadra kuwashwa bali nadra kusikia mtu akitangaza kuwashwa nduku ukilanganisha na muwashwa mikono.Mkuuu ni nadra kusikia mtu akiwashwa nn...... 😂😂😂😂
Aiseee eti Nduku😂😂😂😂Sio nadra kuwashwa bali nadra kusikia mtu akitangaza kuwashwa nduku ukilanganisha na muwashwa mikono.
La kushoto au kulia?Kuna watu humu makalio yanawacheza, embu tujuze maana yake nini?
Mwili wa binadamu una mifumo ifuatayo:-Justify with not less than two reasons
Ndio mtoa mada anataka kujua huo mfumo au mifumo ktk mwiliMwili wa binadamu una mifumo ifuatayo:-
Ipatapo itilafu kidogo tu, ndio ishara mbalimbali hutokea zinazohusu huo mwili na si vitu vya nje ya mwili.
- Mfumo wa chakula
- Mfumo wa upumuaji
- Mfumo wa damu
- Mfumo wa fahamu
- Mfumo wa uzazi
- Mfumo wa mifupa
- Mfumo wa mkojo
- Mfumo wa misuli
- Mfumo wa kinga
Kunywa maji ya baridiMboo inanicheza