Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

Utasikia mtu akiwashwa mkono anasema atapokea pesa, akiwashwa mguu atapata safari ila ni nadra kusikia mtu akiwashwa na kinyeo akatoa tangazo na kubashiri atapata nini kwa mlingano wa kinyeo.
 
Utasikia mtu akiwashwa mkono anasema atapokea pesa, akiwashwa mguu atapata safari ila ni nadra kusikia mtu akiwashwa na kinyeo akatoa tangazo na kubashiri atapata nini kwa mlingano wa kinyeo.
Mkuuu ni nadra kusikia mtu akiwashwa nn...... 😂😂😂😂
 
Justify with not less than two reasons
Mwili wa binadamu una mifumo ifuatayo:-
  • Mfumo wa chakula
  • Mfumo wa upumuaji
  • Mfumo wa damu
  • Mfumo wa fahamu
  • Mfumo wa uzazi
  • Mfumo wa mifupa
  • Mfumo wa mkojo
  • Mfumo wa misuli
  • Mfumo wa kinga
Ipatapo itilafu kidogo tu, ndio ishara mbalimbali hutokea zinazohusu huo mwili na si vitu vya nje ya mwili.
 
Ndio mtoa mada anataka kujua huo mfumo au mifumo ktk mwili

Labda jicho kucheza basi mwanga umezidi ktk jicho hivyo jicho linapambana

Ngozi kucheza kama ng‘ombe anavyochezesha basi ni kuna infection ktk ngozi na hio infection inasababishwa na...
 
Back
Top Bottom