GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe unamuona kwenye picha tu.
 
Hoja ya ukabila Tanzania ni hoja ya kichovu kabisaaaaaa. Umeongea upuuuzi mtupu hapa
Wewe ndiye mpuuzi hujasoma na kuelewa hoja yangu, nimeeleza wazi kuwa huyu hakuzaliwa jimboni, hajakulia jimboni, hajawahi kuishi jimboni maisha yake yote hadi leo hana makazi jimboni, hivyo hoja siyo ukabila bali si mmoja wa wana jimbo la Bumbuli hivyo hajui shida zao na ndiyo maana hajawahi kuwasemea wana Bumbuli, wewe umekurupuka ni aidha ni January mwenyewe au mkewe.
 
January ni mtoto wa kambo wa Makamba Sr?
Tobaaah, ndo najua hili leo, em sema kwelii?
 
Mpaka hivi sasa hivi video haipo Millard ayo. Hata video ya mgombea aliyenyimwa forum jimbo la Mchengerwa haipo.Millard anaishusha brand yake.
 
Mpaka hivi sasa hivi video haipo Millard ayo. Hata video ya mgombea aliyechukua jimbo la Mchengelwa haipo.Millard anaishusha brand yake.
Issue wa dogo aliyeuawa mwanza wakati mange anaitupia insta,milard wala akushughilika nayo,polisi walipotoa taarifa za kuwakamata wauaji milard ndio wa kwanza kuripoti
 
Mpaka hivi sasa hivi video haipo Millard ayo. Hata video ya mgombea aliyechukua jimbo la Mchengelwa haipo.Millard anaishusha brand yake.
Millard ni either anapewa commission asitoe airtime Kwa baadhi ya bahari au anachimbwa Mkwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…