Selfika na JF: Snap it. Show it


Hivi unajua maana ya kusifia?
Ulikuwa na uwezo wa kumsifia bila kukandia picha nyingine zilizopostiwa huku. Eti haujasema wengine ni wabaya, ulikuwa na maana gani kusema miguu imefunika picha zote zilizopostiwa huku?
.
Yalikuwa ni mawazo yako? Ulikuwa una maana gani kusema kwa Mwanaume kamili lazima aone kama ulivoona wewe?
.
Point of correction, sijapanic ila nimeshangaa sikudhani kuna watu wajinga kiasi chako.
.
Kula mafenesi yako mwenyewe na siku nyingine uwe unaandika vitu vnye maana.
 
Sifia yako imekaa kama, umedharau za wengine sababu hazina quality na hawana swaga means pic zao za kishamba

Nikupe mfano huku bush kuna mademu wakali kuliko rihana, beyonce nk lakini kutokana na mazingira pic zao zikiletwa hapa na za kina rihana, beyonce na wengine wenye kariba kama yao wataonekana ndo warembo kuzidi bushladies umenipata nadhani
 
Mafenesi ndo yamemfanya kuwa mjinga
 
Ni wivu tu
 
Aiseee hannah nakupendaje mimi mwenzenu kubishana siwezagi kabisaaa kwanza na kigugumizi nitaishia kulia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…