πππBabu miga hana kazi mbovu πΉπΉπΉ
Hapana id yangu ingine ni ile ya sikio la muazini ndo nikafungua hySasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?
Babu miga mbona sio shida zake πΉπΉπΉUduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.
πππ
πππ Nina vitu vyangu mie, sio huyo.Hapo coca lazima umnase πΉπΉ
πΉπΉπΉπΉHafungui hadi unione mie, na humpati bila mie.
Wee haya, ππ
Si ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.πΉπΉπΉπΉ Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?
Anataka kuchachua uzi tena? Woyoooooo πΉπΉπΉπΉ
Awahi watunza mafile tukiwepo..!!
πππ noma sanaa.πΉπΉπΉπΉ em nipe hilo bomu nikushikie litakulipukia coca..!!
πΉπΉπΉ G ni mjinga mmoja hivi anajifanya anaplay low key.. yupo mambele kweli lakini ni kitengo Huyo..!!πππ wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?
Maana sielewi elewii.
πΉπΉπΉ wog kanichekesha hapo kwenye brandWatu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?
πΉπΉπΉπΉ Atutajie mwenyewe nna hamu nimjue..!!Mtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, alooooh
πππ
πΉπΉπΉ Mzuka umepanda uduguuTaratibu uduguu, usiwe na paparaa, mbona unataka kuunguza sript.
πππ
Pisi kweli.Yani unamuita huyo jamaa ni pisi ya kwendea...
Aisee...
πΉπΉπΉπππ Nina vitu vyangu mie, sio huyo.
Analeta nusu nusu ananiboa πΉπΉSi ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.
πππ
Aanh kumbe! Nikajua pisi kali yako banaπHuyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha π
chukua simu ya mkeo upige pic πΉNina nokia ya tochi sasa hivi mshikaji wangu, siwezi kula selfie.π€£π
Duhh kazi unayo!Hapana id yangu ingine ni ile ya sikio la muazini ndo nikafungua hy
Baadae nitakuwekea usijali πΉAkili zako weee mbili kasoro ujue πΉπΈ
Hebu nione hizo heels kwanza kitambo sana!
Ushapitiwa.Washroom π₯²