Mlongoo, mbona km wewe sio mpya hapa ndani, em nisanue kwa code, ni nani hapo zamani?Habari za mashengesha mie no,Huwa nawa enjoy tuπ
Vocha alikuwa tajeer humu anagawa vocha,,si unajua raia wakamfanyia figisu mara chambo maneno tele,,wanaume wenzie walikuwa wanamuonea wivuπ
πππChristine_1 acha kucheka Cheka Nitajie huyo mtu waliyechat na national na yeye akaleta maneno ya uongo kwako na kukuulizia taarifa zangu..!! Nipo serious ujue..
Nataka niwajibu wote kwa pamoja hapa hapa sitaki private mimi..!!
Kweli sitanii bana maka πΉπΉHakuna mnafiki dunia hii kuliko ww mshikaji wangu,ππ€£
Kupasha shahawa moto.. ππ€£
Tina kapotea πΉπΉOoooh kumekuchaa, kuna nini humu ndanii.
ππππ
Dunia nzima ya jf except Smart. Amepambana sana vita na anaendelea kupambana juu yangu!!Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.
Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
Para ya mwisho chino ππMimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.
Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
Cantry bila kunitaja huwa hujamaliza wala kuridhika?Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.
Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.
Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
Wakunyumba,,, kidoti πMlongoo, mbona km wewe sio mpya hapa ndani, em nisanue kwa code, ni nani hapo zamani?
πππ
Na Tshirt si unajua napenda white Tshirt..!!Ninazo nyingi ntakupa mojaπ
ππππ khaaahMimi niogope na nilikuwa katikati yao mpaka yakayamwagwa ya kuyamwagwa UMENISAHAU πΉπΉπΉ
Wote wananijua vizuri siwaogopi..
Sema nini muungano wa wachawi haujawahi kudumu..!!
Mtoa idea ya uchonganishi hajaamini macho yake alivyokwapuliwa bwana πΉπΉ
Mimi na Antonia tupo sana ugomvi wetu ulisukwa na haukuwa wa mboo za kugombania za mafungu..
Mio anakupenda sijui kipi huwa kinamfanya akusaliti..!! π₯Dunia nzima ya jf except Smart. Amepambana sana vita na anaendelea kupambana juu yangu!!
Wog ana moyo mdogo hajazoea skendo mamchu wawatu inaonekana ameumia sanaYani wog litamkuta jambo soon tupo hapa wanakamati.!! Na alivyo hachelewi kulia sasa πΉπΉπΉ
Leo kaselfika πΉπΉπΉCantry bila kunitaja huwa hujamaliza wala kuridhika?
Kwanza hujambooo? πππ
πMlongooo!! Nambiee.
Subiri kwanza niwatizame CHELSHIITKweli sitanii bana maka πΉπΉ
Tupia yenye kamwanya basi π
πΉπΉπΉ Wanakamati shughuli tuliiendesha barabara muda wa kukata cake wenye ukumbi mods wakatulima ban πΉππππ khaaah
Sijambo, mzima kabisa nipo winja nasoma tu shengesha zenuπ πCantry bila kunitaja huwa hujamaliza wala kuridhika?
Kwanza hujambooo? πππ
Wewe si unauza hizi T-shirt tena unazisifiaga ni quality kabisaπ πNa Tshirt si unajua napenda white Tshirt..!!
Kesho unifanyie deriver mapema jpili nivae misa ya kwanza..!!
πΉπΉπΉWog ana moyo mdogo hajazoea skendo mamchu wawatu inaonekana ameumia sana
πππ JF ina vituko, heka heka mwaa mwiii.Umefika πΉπΉπΉ
Mi naona wog anatishia nyau.
Nimemwambia anitajie waliyenijadili na babu miga anaruka ruka..!! Nataka nimuanzishie shuhuli ili amalize..!!