Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Haya na mie nikalee mume sasa
pungua kidogo tu
pungua kidogo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ukweli banaHahaha pm zimefungwa na solex
Embu nitag sijaona
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mi naanza na mkono baadae miguu alafu sura itafuata
View attachment 1218933
Mkono wa kiume hiyo misuli naipendaga balaaMi naanza na mkono baadae miguu alafu sura itafuata
View attachment 1218933
Wewe ni mmoja waoSema ukweli bana
Rangi
Swaggs
Quality
Style
Wengi waliofuta picha zao sababu kuu ni kwamba hawajiamini... Ukichukua ile picha ya viganja vya mguu ya scorpio me ina mvuto zaidi ya picha za viwiliwili zote zilizo wekwa hapa (kwa upande wa wadada)
Embu angalia tena zile picha yuko beach na angalia zile nyingine yupo mtoko..... Kama ni mwanaume kamili utanielewa
Wewe kuna uzi wako sijaufutaWewe ni mmoja wao
Hatimayee
@cresida natoka mutu anaingia mutu wa kuendeleza sebene love you hannahKwa hiyo hao unaowaita wanaume kamili wanajua mtu ana swaggs na quality kwa kuangalia miguu wa mtu?
.
Ndio wanaume kamili unaowazangumzia wa kugundua uzuri wa mtu kwa kuangalia miguu yake? Yaani wanaume kamili wakiona mguu mweupe halafu mnene ndio wanafunga mkataba kwamba huyo mtu ana swaggs na apo na uquality?
.
Usitutishe wewe na hao mabaharia feki unaowaita 'wanaume kamili'. Hamna mwanaume kamili hapo.
.
Anaweza kuwa mzuri ila eti kusema kafunika picha za wote huku ni kudhihirisha kiwango chako cha ujinga.
.
Kisa mtu ni mweusi na ni mwembamba basi sio mzuri? Maana ukizungumzia ile picha ni mguu tuu unaonekana. Hiyo haitoshi kutoa kasoro picha zote zilizopostiwa.
Muda wote nakungojea utupie kapicha, kuna sababuUzi unashawishi vibaya mno kujitupia, kweli we jamaa mchawi
Ile yako kabla hujazaa meisubiria mpaka mechelewa mazoeziKwa hiyo hao unaowaita wanaume kamili wanajua mtu ana swaggs na quality kwa kuangalia miguu wa mtu?
.
Ndio wanaume kamili unaowazangumzia wa kugundua uzuri wa mtu kwa kuangalia miguu yake? Yaani wanaume kamili wakiona mguu mweupe halafu mnene ndio wanafunga mkataba kwamba huyo mtu ana swaggs na apo na uquality?
.
Usitutishe wewe na hao mabaharia feki unaowaita 'wanaume kamili'. Hamna mwanaume kamili hapo.
.
Anaweza kuwa mzuri ila eti kusema kafunika picha za wote huku ni kudhihirisha kiwango chako cha ujinga.
.
Kisa mtu ni mweusi na ni mwembamba basi sio mzuri? Maana ukizungumzia ile picha ni mguu tuu unaonekana. Hiyo haitoshi kutoa kasoro picha zote zilizopostiwa.
Hahaha uzi gani huo?Wewe kuna uzi wako sijaufuta
Ulikuwa wapiSijaona yako
Wa pm banaHahaha uzi gani huo?
We Dada 😂😂😂😂🙌Sijaandika hivyo ili ndo unisifie,, njoo pm tusifiane vizuri
Hahaha ushaanzaMkono wa kiume hiyo misuli naipendaga balaa