Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Dah! Bora unyamaze maaana......!!No comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Bora unyamaze maaana......!!No comment
😂😂😂Hivi viatu vyote umevaa leo?
Hata mimi sijaionaNimeona miguu hiyo ya beach sijaona
Mbona umepaniki ndugu yangu... Mimi nimemsifia tu... Na wala sijasema kuna wengine ni wabaya..
Halafu hayo ni mawazo yangu.. Kama umeyapinga ni sawa maana hayo sio msaafu...
Lakini ukweli nimemwelewa sana huyo bidada na sijaona makosa kumsifia yeye anamvuto kuliko wengi wenu
Alafu haina haja ya kulumbana, Karibu tule mafenesi
Dah! Bora unyamaze maaana......!!
Ni swali tu
Mbona umepaniki ndugu yangu... Mimi nimemsifia tu... Na wala sijasema kuna wengine ni wabaya..
Halafu hayo ni mawazo yangu.. Kama umeyapinga ni sawa maana hayo sio msaafu...
Lakini ukweli nimemwelewa sana huyo bidada na sijaona makosa kumsifia yeye anamvuto kuliko wengi wenu
Alafu haina haja ya kulumbana, Karibu tule mafenesi
Hivi unajua maana ya kusifia?
Ulikuwa na uwezo wa kumsifia bila kukandia picha nyingine zilizopostiwa huku. Eti haujasema wengine ni wabaya, ulikuwa na maana gani kusema miguu imefunika picha zote zilizopostiwa huku?
.
Yalikuwa ni mawazo yako? Ulikuwa una maana gani kusema kwa Mwanaume kamili lazima aone kama ulivoona wewe?
.
Point of correction, sijapanic ila nimeshangaa sikudhani kuna watu wajinga kiasi chako.
.
Kula mafenesi yako mwenyewe na siku nyingine uwe unaandika vitu vnye maana.
Mmekwama wapi nyieNimescroll Hadi nahisi ganzi dole gumba kumuona beautiful@kapeace lakini wapii
Ni wivu tuSifia yako imekaa kama, umedharau za wengine sababu hazina quality na hawana swaga means pic zao za kishamba
Nikupe mfano huku bush kuna mademu wakali kuliko rihana, beyonce nk lakini kutokana na mazingira pic zao zikiletwa hapa na za kina rihana, beyonce na wengine wenye kariba kama yao wataonekana ndo warembo kuzidi bushladies umenipata nadhani
Ni wivu tu
Hata mimi sijaiona
sema tu....