Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Iphone 14 Specifications..
IMG_20220908_092814.jpg
 
Hapana ni kutokana na mauzo ya devices zilizopita kuwa madogo. Imagine iphone 14 inaenda kwa 700$
Usd 700 umezitolea wapi mkuu?, ninachojua ni kwanzia usd 999-1099, kwa Pro na Pro max
 
Natumia s20 ultra

Nikaiweka hapo n watu wachache sana wanaoweza itambua

Hizo a10 na hao uliowataja wana tofaut gani na infinix?

mkuu unapita maeneo gani??

hiki unachosema hakina tofauti na mtu awe na iphone 11 pro leo,uswahilini watasema jamaa ana macho matatu.bila kujua macho matatu kwa sasa zipo mpaka za laki 8,sio ishu kabisa.na ukiwa na 13 pro max kwa asiyejua pia mpaka umueleze hii ni 13 pro max currently iphone.hivi hi utaambiwa tu una macho matatu.

s20 ultra ni simu kubwa sana na usiseme haijielezi,inaongea vyema ila kuijua hii ni samsung ipi hapo mpaka ukutane na ma expert kama sisi.
kama ilivyo kwa iphones hapo juu.
 
Back
Top Bottom