Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Hakuna neutrality katika maslahi ya taifa letu Anne. Wameshindwa kuboresha maisha yetu for 50+ years... We need a fresh start fresh mind.
Fresh start kwa kutaka kuigawa nchi?
Akheri tutawaliwe tu na CCM kuliko kutawaliwa na Upinzani wenye akili za kihuni namna hiyo

Na kwa sera hiyo wallah nakuambia Urais watausikia redioni.
 
Wee jamaa ni kichaa kabisa yaani
 
Nashangaa anasema katokea Mbeya
Sasa ulimuamini huyo anayefanya assumptions za nilipotokea??[emoji1787]

Kwani mtu ukikaa Mbeya ni lazima ufwate Mkumbo kwenye kila kitu???
Mimi nipo Mbeya na sera hiyo siiungi mkono na Kama wapinzani wataendelea kuishikilia basi kura yangu wameikosa.
 
Fresh start kwa kutaka kuigawa nchi?
Akheri tutawaliwe tu na CCM kuliko kutawaliwa na Upinzani wenye akili za kihuni namna hiyo

Na kwa sera hiyo wallah nakuambia Urais watausikia redioni.
Hahaha nilishasema there is no such a thing like neutrality nafurahi umeniunga mkono.. Dunia nzima hakuna nature ya utawala kama TZ wa maRc na maDc chaguo la rais... Sera ya majimbo inapinga maendeleo ya mikoa na wilaya kutegemea serikali kuu! Hiyo sera yenu ya ubaguzi mnaitoa wapi?
 
Umeninukuu vibaya pia... Mbeya haipo gizani
 
Kwa vyovyote vile iwavyo mimi siiungi mkono
 
Umeninukuu vibaya pia... Mbeya haipo gizani
Tupo kwenye mwanga na najua ulichomaanisha.
Ni kweli Mbeya chadema imetapakaa lakini bado si sababu ya sisi kuunga mkono kila linaloropokwa na wapinzani
 
Tupo kwenye mwanga na najua ulichomaanisha.
Ni kweli Mbeya chadema imetapakaa lakini bado si sababu ya sisi kuunga mkono kila linalolopokwa na wapinzani
Lopokwa? Kama ulimaanisha kuropoka kuna waropokaji wazuri zaidi ya mataga? Mnanywesha watu matope for half a century now!
 

Umenena vyema. Wachaga wengi niliozungumza nao wanakerwa na sera hii. Itaanza kuwaumiza wao zaidi kabla ya kuumiza wengine. Ni sera ya hovyo sana. Duniani kote hakuna sera ya majimbo inayoamuliwa na chama kimoja. Hili ni suala kubwa ambalo ni lazima maoni ya wananchi yatafutwe kupitia kura ya maoni (referendum ). Inashangaza Chadema inajitangazia tu suala hili kana kwamba nchi hii na watanzania wote ni mali yao. Huku ni kudharau haki za wananchi za kufanya maamuzi makubwa yanayowahusu. Halafu chama cha aina hiyo kinadai kinatetea haki. Watanzania wameidharau na tumeamua kuendelea na JPM
 
Hatuna kazi zaidi ya kumhurumia tu lissu

Tunamhurumia kama Mtanzania mwenzetu ila sio kumpatia kura[emoji3][emoji3]
Maumivu mnayaugulia ndani kwa ndani... Muulize Mahera[emoji23][emoji23]
 
Mkuu unaakili sana bora umewashitukiwa hawa Chadema wataigawa Nchi vipande vipande
Tuwakatae
Akili yangu ni ileile na huwa nasimama katika haki bila kushabikia chama chochote
Udhaifu wa CCM isiwe sababu ya kuikubali hii sera ya kibaguzi
 
Wachaga wepi ambao unatumia inclusive terms kuwasemea? Miaka na miaka kabla hata ya uhuru walipropose issue ya wao kujitegemea!
 
Comrade unaakili nyingi sana, wasipoelewa hapa hawataelewa tena
 
Hoja zako za kipumbavu hizo haziwezi kumshawishi mtu yeyote labda awe na akili ndogo kuliko hii ya kwako.

Hoja ya majimbo ni hoja mujarabu ambayo hata womanizer wenu anayetaka kuoa mke wa pili Zanzibar anaikubali na ni tishio kwake.
Vipi mkuu umakuonea wivu mwanmke mwenzio toka Zenji kuolewa na JPM?
 
Majimboism is the way to the devolution of the governance structure of the country where the grassroots will have the power to make decisions in a bottom up approach...many people in this country are stupid and this is the reason why there is enormous amount of poverty, ignorance and underdevelopment and majimboism is the only way to go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…