Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

Hayo maswali mengine wangetumia wenyeviti wa mitaa na vitongoji kukusanya taarifa.

Yaani mtu akae na taarifa ya watu waliolala kwake wiki mbili zilizopita.😁.
 
😀😀😀😀 Mkuu umenifanya nikumbuke kipande fulani cha wimbo wa Ngwea (RIP) na jide anasema asilimia tisini ya wanchi vijijini starehe yao ni pombe na ninyiii.....
Wimbo unaitwa Sikiliza, ile album ya ngwair ilikua kali sana
 
Siku inaisha sijahesabiwa na kesho nasafiri kwenda Dar na sehemu ninayofikia wao wamebahatika kuhesabiwa, kwa kifupi mimi na watoto wangu kuhesabiwa ni ngumu…hili zoezi hawakujipanga
 
wakileta karani wa kike, halali yangu
wa kiume sifungui ng'o
Kwa hiyo baada ya siku 7 tutegemee nyuzi nyingi, zikiwemo zenye chai ya rangi za kuwalaghai makarani wetu wa sensa wenye jinsia ya kike siyo!
 
Hakuna sensa best,ni kupotezeana muda tu,

Leo nimeamini wanavyosemaga Tz hakuna kitu wanachofanya kikatik.

Kelele tu nyingi,
Tutamkumbuka jiwe kwenye utekelezaji wa mambo...

Bora wangefanya demo walao mwaka mmoja kabla ili kubaini changamoto
 
Siku inaisha sijahesabiwa na kesho nasafiri kwenda Dar na sehemu ninayofikia wao wamebahatika kuhesabiwa, kwa kifupi mimi na watoto wangu kuhesabiwa ni ngumu…hili zoezi hawakujipanga
Hivi hii ni aina ipi kati ya dejure na defacto?
Najiuliza uhakika wa matokeo ya hili zoezi
 
Huenda ni sensa ya viongozi hatukuelewa vizuri,maana naona viongozi Wana post tu kwenye mitandao kwamba wameshahesabiwa kina spika betina, jokate, ila raia wanasema mtaani kwao hakuna kaya iliyohesabiwa.
 
Back
Top Bottom