Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo unaitwa Sikiliza, ile album ya ngwair ilikua kali sana😀😀😀😀 Mkuu umenifanya nikumbuke kipande fulani cha wimbo wa Ngwea (RIP) na jide anasema asilimia tisini ya wanchi vijijini starehe yao ni pombe na ninyiii.....
Kwa hiyo baada ya siku 7 tutegemee nyuzi nyingi, zikiwemo zenye chai ya rangi za kuwalaghai makarani wetu wa sensa wenye jinsia ya kike siyo!wakileta karani wa kike, halali yangu
wa kiume sifungui ng'o
hahaha, kabisaKwa hiyo baada ya siku 7 tutegemee nyuzi nyingi, zikiwemo zenye chai ya rangi za kuwalaghai makarani wetu wa sensa wenye jinsia ya kike siyo!
Wiki nzimaKuanzia asubuhi hadi sasa mtaani kwangu hawajapita hata nyumba moja, na sidhani kama watakamilisha hii Sensa ipasavyo
Na kitu kizito au[emoji2]?Tumepigwa
Zinaweza zisitoshe... nahisi maandalizi hayakuwa mazuriNi wiki mbili hivi
Tutamkumbuka jiwe kwenye utekelezaji wa mambo...Hakuna sensa best,ni kupotezeana muda tu,
Leo nimeamini wanavyosemaga Tz hakuna kitu wanachofanya kikatik.
Kelele tu nyingi,
Hivi hii ni aina ipi kati ya dejure na defacto?Siku inaisha sijahesabiwa na kesho nasafiri kwenda Dar na sehemu ninayofikia wao wamebahatika kuhesabiwa, kwa kifupi mimi na watoto wangu kuhesabiwa ni ngumu…hili zoezi hawakujipanga
Ndiyo😂😂😂😂 ndiyo wana tabia hizo za kuhakikisha fridge jeupe ndiyo roho inatulia?😂