Dharau si kitu kizur kabisa Ukizungumzia issue ya Ubongo Wengi wanaofaulu vzuri hutokea familia zenye support nzuri pia, Walim si wajinga ila wamekua na Umaskin toka Majumban mpaka huku serkalin.Acha kamba wewe..mtu apate one ya PCB aende ualimu?..si atakuwa kichaa.
Kipindi cha nyuma madaktari walikuwa waanlipwa sawa na walimu...mwaka 2007 wakagoma nchi nzima wakaongezewa asilimia mia ndio gap likaonekana. Huu mgomo wa kungolewa meno ni wa juzi hapo. Kwa hiyo walimu wasitaraji mema bila kutoka jasho.Nani anaeweza tetea maslahi na haki zake katika wafanyakazi wa nchi hii ukiwaondoa hao walimu? Madaktari? Sio waliogoma wakachukuliwa wanajeshi kwenda kutibu, wengine wakang'olewa kucha bila ganzi? Hii yako sio hoja ni makasiriko tu
Hivi specialist si ana masters duh mbona kiduchu namna hiyo....hata kwa madaktari hiyo bado si mishahara ya maana. Nchi hii kada nyingi watu wanajitolea tu kumbe hela gani hizo Sasa.TGHS D1 1270,000/=
TGHS E1. 1,530,000/=
TGHS F1. 1,865,000/=
F1 ni mshahara wa Specialist anaeanza kazi.
Huyo ni shortsighted tu, sa hivi kuna MD wa D nne yaani Biology, Chemistry, Physics na Mathematics. Tena hao wa Diploma na Certificate ndio wengi balaa halafu wanalipwa vizuri tu.Hapa umetapika Pumba kaka, unamaanisha DUCE pale hakuna one? Zipo tena zingine nzuri tu ila walilazimika kwenda uko kutokana ba sababu zilizokua nje ya uwezo wao.
Unakosea kulinganisga ufaulu ja mshahara kwa dunia ya leo ambayo kuna MD wana three pale Kairuki na Kampala na wakija kazini wanakunja Pesa sawa na MD wa MUHAS.
Bora hao wana perdiem, extra duty, overtime, seminar na on Transit hivyo mishahara yao wengi hawaitumii.Hivi specialist si ana masters duh mbona kiduchu namna hiyo....hata kwa madaktari hiyo bado si mishahara ya maana. Nchi hii kada nyingi watu wanajitolea tu kumbe hela gani hizo Sasa.
Boss huko UALIMUNI kuna mgomo baridi ambao ndio mbaya zaidi kuliko ule wa kuingia barabarani.Kipindi cha nyuma madaktari walikuwa waanlipwa sawa na walimu...mwaka 2007 wakagoma nchi nzima wakaongezewa asilimia mia ndio gap likaonekana. Huu mgomo wa kungolewa meno ni wa juzi hapo. Kwa hiyo walimu wasitaraji mema bila kutoka jasho.
Kama wanashindwa kuishauri au kuikemea serikali kuna maana gani ya kulipwa pesa nyingi bila tija kwa nchi, kuna mbunge anaweza changia mada mpaka ukabaki umeshika kichwa tu, hata hicho kiasi ni kikubwa sana 150,000 itapendezaKwenye maslahi yao, wale jamaa ni wamoja acha kabisa.
Hoja Yako ni nzuri lakini kinachofanya mtu afanye kazi Kwa ufanisi ni mpaka aipende kwanza,serikali haijashawishi watu wanaofaulu vizuri kupenda ualimu.Maslahi duni,mazingira magumu ,wanafunzi mrundikano wa kutoshaTatizo linaanzia pale wengi wanaochukuliwa kuwa waalimu ni wale ambao matokeo yao ya kidato cha nne na sita ni udhaifu!
Utaratibu ungebadilishwa uwe kama vyuo vikuu ambavyo huchukua waliofaulu vizuri (cream) tu. Vinginevyo wataendelea kunyanyasika na hawawezi kijinasua kwa kuwa wanafahamu ukweli kuwa wao ni dhaifu katika masomo wanayofundisha!
Sasa hizo ndiyo hoja za kujadiliwa ili elimu na ualimu vipate heshima yake.Hoja Yako ni nzuri lakini kinachofanya mtu afanye kazi Kwa ufanisi ni mpaka aipende kwanza,serikali haijashawishi watu wanaofaulu vizuri kupenda ualimu.Maslahi duni,mazingira magumu ,wanafunzi mrundikano wa kutosha
Keki ya Taifa igawanywe kwa usawa kila mtu anufaike na Taifa lake sio hawa wanalipwa 6M halafu wengine wanalipwa 600K yaani mara kumi zaidi.Sasa hizo ndiyo hoja za kujadiliwa ili elimu na ualimu vipate heshima yake.
Ni kweli ila nao wanatoa muda wao ambao wangefanya mambo mengine ambayo huenda yangewapa manufaa zaidi.Bora hao wana perdiem, extra duty, overtime, seminar na on Transit hivyo mishahara yao wengi hawaitumii.
Mgomo baridi huwezi kumuwajibisha mwajiri atimize matakwa yao...ni heri shari kamili muda hausubiri.Boss huko UALIMUNI kuna mgomo baridi ambao ndio mbaya zaidi kuliko ule wa kuingia barabarani.
Sema kwa sababu madhara yake HAYAWEZI KUONEKANA KWA HARAKA, LABLA BAADA YA MIAKA 5 AU 10 HUKOO.