Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Kama hizi habari ni kweli...hatuna cha kushangaa, kiuchumi unatakiwa vyanzo vya kuingiza fedha viwe vingi kuliko matumizi na ongezea viwe sustainable.

Tunajua kua matumizi yapo juu...lakini pia leakages za fedha hazikosekani maana wajanja ni wengi kwenye mfumo..!

Ultimately, zigo lote linaishia kwetu via PAYE, VAT na tozo mbalimbali.

Alternatively ingekua kuna vyanzo vipya vya mapato makubwa atleast tungekua optimistic na ukuaji uchumi in future.

Tusisahau majanga ya asili yanapotekea kama mafuriko ile saving kiasi inabidi itumike....

Mwisho wake kama.Taifa ndio tunakua wazee wa hand to mouth..tunapata tunatumia tunaishiwa tunarudi kwa donor kupiha goti! Viscous cycle of poverty.
 
Punguza maneno ya namna hii mkuu.
Ni ombi tu kwa ustawi wa umoja na mshikamano wetu.
Kosoa kiustaarabu na ujivunie utanzania wako. 🙏 🙏 🙏
 
Kobaz unazosema ndizo nusura ya nchi Hii,mind you that huko serikalini zaidi ya asilimia 80 watendaji na watumishi ni wasomi wa kanisa ambao kazi Yao kubwa wanayoijua ni wizi na ufisadi,unategemea Rais wa nchi afanye kitu Gani??
Omba sana Mola akujaalie hekima na busara kwani unakoelekea (uzeeni) hadi watoto wadogo watakuwa wanakuita kubwa jinga!
 
Kuna jamaa angu mmoja biashara kwasasa ina suffocate mbaya..pesa yote iko mikonon mwa serikal na kulipwa hakuna dalili..

Yule Magufuli licha ya ujeuri wake, ila kwenye malipo ya vendors alikua anajitahid sana
Mlimkebehi sana sasa mtakula jeuri yenu.
 
Toa ujinga wako hapa. Kwani yule bi. Tozo sio mzanzibar?
Mbona nimeandika simple sana mkuu,
Kosoa kiustaarabu usipende kutweza utu wa binadamu wengine zingatia pia kwamba huyo mama ni Rais wa nchi yetu Tanzania.
Hata hivyo nashukuru kwa ujinga wangu lakini jifunze na uuepuke unaoitwa "Upumbavu" maana ni kipaji.
 
Wapuuzi nyie,kodi hamlipi mnashindana kupeleka pesa kwa manabii matapeli,na mafungu ya kumi huko makanisani kutajirisha wwavivu wa kazi hao
tena utuache!
hao sio wavivu wanapiga kazi
si kazi rahisi kumshawishi mtu anunue kikaratasi cha upako kwa shilingi 10,000/-
bora mlevi unaweza kumshawishi ukimwaga pombe yake kuliko hawa jamaa wa kwa nabii.
inamana kuwapata hao wachungaji walipiga kazi ya maana.
 
Donors nani hao? Unaweza kutupa ushahidi wa maandishi au sauti zao wakati wakilalamika Hela zao kuliwa?
 
Mbona Huku watu wanapiga tenda za halmashauri mazahanati,shule kusuplier vifaa wanazid kusupplie Kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…