Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

Unacho changanya wewe na usicho kijua au unakijua ila umejitia upovu ni kwamba ,unaongelea mfumo wa ffars mfumo ambao kwa 90% watumiaji ni wafawidhi na wakuu wa shule au wasimamizi wa vituo ambalo ni kundi dogo sana na ambalo kila wanapo fanya malipo au wanapo taka kutumia huo mfumo husogea mjini kwenye mtandao mzuri na hufanyia kazi hizo kwenye stationery na Internet cafes na sijui kama hilo umelifuatilia na unalijua, ila ndivyo ilivyo sasa.

Mfumo huu unataka kila siku utume taarifa lakin usisahau kuwa viongozi wengi wamepewa tablets je kwa watumishi wa chini wamepewa? Au unaongea ukiwa mtumba hapo unazungusha kitambi kwenye kiyoyozi?jifunzeni kuyajua maisha na mazingira halisi ya watumishi wenu, msiishi kama mnasimuliwa kwenye hadithi.

Inamaana kwa sasa watumishi wote wawe wanakumbilia mijini kwenye mtandao wenye kasi kutuma taarifa? Hizo kazi zitafanyika sangapi ikiwa mda wote watumishi wanapambana kutuma taarifa , kwa hili nasema utafiki na akili ya kina havikutumika.
 
Soma comments #100
 
Muongo mkubwa sana wewe jamaa kwa hili huwezi nidanganya popote maana nahisi una mambo meng bado hujayajua huenda
usilete siasa hapa ndio maana nchi hii mambo mengi yanakwama sababu ya watu wa aina yako kuwa mashahidi wa uongo.
 
Muongo mkubwa sana wewe jamaa kwa hili huwezi nidanganya popote maana nahisi una mambo meng bado hujayajua huenda
usilete siasa hapa ndio maana nchi hii mambo mengi yanakwama sababu ya watu wa aina yako kuwa mashahidi wa uongo.
Sehemu Gani nimedanganya Mkuu..
Niko Tayar kuomba Msamaha kwa mahali nilipodanganya!
 
Sehemu Gani nimedanganya Mkuu..
Niko Tayar kuomba Msamaha kwa mahali nilipodanganya!
Na itakuwa vyema uka taja category zilizo tumika kwenye huo utafiti na kama utaweza unawez ukatoa statistical analysis ya matumizi ya mfumo huo wa watumishi portal unao sema maana naujua pia na nilifatilia pia idadi ya members walio kuwa active kwenye mfumo huo unao usema
 
Sasa mkuu!
Umeuliza kama utafiti umefanyika nimekujibu kwa Summery bado unataka Nikupe Kablasha la utafiti wote wa Mfumo 🤣🤣..

Nikikupa bado utaniambia Mbona kijiji Fulani hamkufika na mbona kata Fulani hamkuigusa
 
Kila mnapozungumzia watumishi mnawatolea mifano walimu,kanakwamba wao hawana akili hiyo sio sawa, harafu dhana potofu kuwa walimu ndio wanaolipwa mishara midogo ondoeni nyie wapuuzi mnawasema walimu Kila kikicha mbona aslimia ndogo tu ya watumishi ndio wanaolipwa mishahara mikubwa, wengi wao ni kama walimu tu.
 
Ulikuwa sehemu ya utafiti au umeambiwa ulifanyika utafiti? maana mimi niko pangani sijawah kusikia hicho unacho kisema, labda uniambie mlifanyia halimashauri na watumishi wa pale kwa mkurugenzi
 
Wacha wakome, juzi wamechanga fedha ajili ya form ya Rais
 
Ulikuwa sehemu ya utafiti au umeambiwa ulifanyika utafiti? maana mimi niko pangani sijawah kusikia hicho unacho kisema, labda uniambie mlifanyia halimashauri na watumishi wa pale kwa mkurugenzi
Kama ni Pangani na Kilindi.. umeajiriwa Lini na Ni mwalimu au? maana Pangani tulifanya Kwa walimu watendaji wa shule kadhaa, Na baadhi ya Watumishi wa Afya

Ilifanyika Kigurusimba,Ubangaa,Tungamaa (Maeneo ya meka na Langoni),Kata ya Kimang'a na Tarafa ya madanga kwa Ujumla..

Kilindi ilifanyika Jaila, bokwa ,Negero,Pagwi, Kisangasa,Lwande na kwekivu..

Haya Mkuu swali zaidi
 
 
Nipo pangani hicho unacho kisema sijawahi kukisikia zaidi ya kusikia wito wa semina ya masaa machache sana yenye mambo mengi ambayo 95% walitoka na hawakuelewa. Hicho unacho kisema ndio nakisikia sahizi hapa kwako na hamkuzingatia kabisa swala la network coverage jambo ambalo mlifeli kabisa kwenye utafiti wenu wa kuanzisha huu mfumo ambao ni mzuri sana lakini si rafiki
 
Mimi nasema siku ambayo tz itafaulu zoezi la kuwapeleka wanafunzi wa drs la sita wote kujiunga na sekondari ndo ntajua imepiga hatua. Kwa % kubwa hata huo mfumo mpya wa kubeba wahitimu hao wote kwenda sec utabakia kwenye makaratsi tu otherwise utakuwa inefficiency.

Sasa km tu huu wa PEPMIS/PIPMIS umeshindikana vipi huo wa mtaala mpya unaohitaj rasilimali watu na fedha na miundombinu kwa kiwango cha juu kabisa, je itawezekana vipi.
 
Vipi ushapata mshahara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…