kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
- Thread starter
- #101
Unacho changanya wewe na usicho kijua au unakijua ila umejitia upovu ni kwamba ,unaongelea mfumo wa ffars mfumo ambao kwa 90% watumiaji ni wafawidhi na wakuu wa shule au wasimamizi wa vituo ambalo ni kundi dogo sana na ambalo kila wanapo fanya malipo au wanapo taka kutumia huo mfumo husogea mjini kwenye mtandao mzuri na hufanyia kazi hizo kwenye stationery na Internet cafes na sijui kama hilo umelifuatilia na unalijua, ila ndivyo ilivyo sasa.Mtumishi kafanya majukumu yapi ya Afisa utumishi?
Kwahyo mtumishi huyo hana Smartphone?
Pilot ya Mfumo imefanyika Kupitia mifumo mingi kabla ya hiyo na kupitia GPS za eMap kipindi wanafanya kuweka Raman za kielectronic za ukaguzi wa Shule na Vituo vya kutolea huduma ya Afya..
Hakuna sehemu yenyew changamoto wa kimfumo iliyoonekana..
Watumishi wamekuwa wakitumia FFARS (Ambao upo ndani ndani mpaka kwa watendaji wa vijiji), PlanRep ,DHIS2, mfumo wa taarifa za shule "SIS", ..Gothomis, Na mifumo mingine mingi..
Kabla ya mfumo wa PEPMIS kuingizwa kwenye watumishi portal ess..
Watumishi Portal.ilikuwa hewani kuanzia mwezi April mwaka jana 2023 na ulionekana kutumia Cache report na Ip adress na Ping Report kuwepo kila kijiji na kila kata mpaka kufikia mwaka 2023 mwezi November Asilimia 94 ya watumishi walikuwa wamejiunga..
Sasa sijui malalamiko yako ni yapi..
Ungeniambia ili.nipate kuyajua
Mfumo huu unataka kila siku utume taarifa lakin usisahau kuwa viongozi wengi wamepewa tablets je kwa watumishi wa chini wamepewa? Au unaongea ukiwa mtumba hapo unazungusha kitambi kwenye kiyoyozi?jifunzeni kuyajua maisha na mazingira halisi ya watumishi wenu, msiishi kama mnasimuliwa kwenye hadithi.
Inamaana kwa sasa watumishi wote wawe wanakumbilia mijini kwenye mtandao wenye kasi kutuma taarifa? Hizo kazi zitafanyika sangapi ikiwa mda wote watumishi wanapambana kutuma taarifa , kwa hili nasema utafiki na akili ya kina havikutumika.