G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!