Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Mbaya zaidi... Kawaambia Majaji hati ya mashtaka Kuna maneno yametolewa ili kubadili maana ...yaani Yale maneno Yana vidoti Kisha sentensi inaendelea..

Ina maana Majaji watajiuliza kama Kuna maneno yametolewa ni yapi ? Hapo ndipo ushahidi wa video ungehitajika ili wasikilize na wao ...ila Sasa video haipo
Tangu mwanzo ilijulikana hii kesi ni ya kisiasa

Na walifanya hivyo ili kuwaondoa CDM kwenye reli

Kumbuka walitumia option ya kwanza kumtaka Mwenyekiti mstaafu arudi tena, iliposhindikana ndiyo wakaja na option ya pili, Kesi ya uhaini

Mamlaka hazitaki Siasa za Lissu na Heche
 
Machoko mapigwa miti yametelekeza eda, nenden mkawasaidie mawakili wenu fake Mahakama shenzi nyinyi nguruwe wa kizimkazi
Kesho mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga wanaanza kushusha nondo zao. Stay tuned!

Mnyika, Golugwa Brenda Rupia na John Heche wote sasa hivi ni ndembendembe baada ya kuhojiwa na magwiji wa Sheria wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga!

Kesho ni zamu ya Lissu kubagazwa hadi aombe poo!

Na nakuhakikishia Lissu ATANYONGWA HADI KUFA!
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu
Kumtia hatiani sio tu kunaibagaza nchi bali unaondoa trust ya mahakama kabisa kwa kuwa umma na ulimwengu tayari unahukumu mkononi na inaweza kuchochea hasira za watu zaidi. It is very open kuwa hakuna uhaini pale na Lissu amejua kuwa majaji watakumbilia kwenye sedition ndio maana amewahi kwenye hilo.Pia Lissu kuwa Gerezani kutaendelea kuharibu jina la Rais aliyo madarakani kwani Umma utamzungumzia zaidi Lissu.Jiulize kwa nini hadi wazee vijijini wanajua kuhusu hii kesi na hawajui kuwa kuna makamu wa rais mpya na Jina lake ndio usiulize hawajui chochote.
 
Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Lissu hakuwahi kutamka hayo maneno uliyoandika hapo, mahakama inawataka ku prove beyond any doubts something which you can't.

Sheria haitaki ramli, inataka majibu kamili, sio mnawaambia majaji wajiongeze kwa hizi hoja zenu za kuunga unga.
 
Kesho mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga wanaanza kushusha nondo zao. Stay tuned!

Mnyika, Golugwa Brenda Rupia na John Heche wote sasa hivi ni ndembendembe baada ya kuhojiwa na magwiji wa Sheria wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga!

Kesho ni zamu ya Lissu kubagazwa hadi aombe poo!

Na nakuhakikishia Lissu ATANYONGWA HADI KUFA!
Nina mashaka sana na jinsia yako
 
Lissu hakuwahi kutamka hayo maneno uliyoandika hapo, mahakama inawataka ku prove beyond any doubts something which you can't.

Sheria haitaki ramli, inataka majibu kamili, sio mnawaambia majaji wajiongeze kwa hizi hoja zenu za kuunga unga.
Umemjibu vizuri sana japo uliyemjibu ni nyumbu wa Lumumba hawezi kukuelewa hata kidogo
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Upinzani ni hulka ya mwanadamu. Kamwe hauwezi kufa. Miaka hiyo nilipokuwa mwanafunzi niliwahi kufundishwa hivi; Man is a political animal.

Ikitokea wakamfunga kwa hila, basi hao wakoloni weusi watambue fika watatokea akina Lissu wengine wa kutosha tu wa kuwakosoa.
 
Kesi ilifunguliwa kwa ushahidi wa maneno, baada ya vurugu kutokea kweli,na ushahidi wa vitendo umeongezeka, kuna kosa kuongezeka kwa ushahidi, wakati kesi inaendelea?
Leo nikitamka "nitaipindua serikali ya ccm" utakuwa ni Uhaini!?
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Basi ndio wataaribu zaidi yaani wataibuka wanaharakati kila mahali hii nchi..
 
Tangu mwanzo ilijulikana hii kesi ni ya kisiasa

Na walifanya hivyo ili kuwaondoa CDM kwenye reli

Kumbuka walitumia option ya kwanza kumtaka Mwenyekiti mstaafu arudi tena, iliposhindikana ndiyo wakaja na option ya pili, Kesi ya uhaini

Mamlaka hazitaki Siasa za Lissu na Heche
Umesahau nyingine ile "kesi uchwara ya mgao wa mali Bara na Visiwani " ya wale machawa akina salum mwalimu na kuzuia chama kufanya kazi kwa muda mrefu.
 
Kesho mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga wanaanza kushusha nondo zao. Stay tuned!

Mnyika, Golugwa Brenda Rupia na John Heche wote sasa hivi ni ndembendembe baada ya kuhojiwa na magwiji wa Sheria wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga!

Kesho ni zamu ya Lissu kubagazwa hadi aombe poo!

Na nakuhakikishia Lissu ATANYONGWA HADI KUFA!
Fedha za damu ulizopewa na Samia zinakusumbua ipo siku zitaishia kwenye matibabu ya Mama Yako Ocean Road Hospital
 
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala
Inaonekana kuna Ka kitu alikuwa kameandaliwa jamaa amekanusa
 
Back
Top Bottom