Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Fedha za damu ulizopewa na Samia zinakusumbua ipo siku zitaishia kwenye matibabu ya Mama Yako Ocean Road Hospital
Pesa ninayopata hata kama haikdhi mahitaji yangu naipata kwasababu nimeifanyia kazi kwa kusoma kwa bidii shuleni na vyuoni. Na Sasa ni Mtumishi wa Serikali mwenye utii wa kazi. Imagine saa 11 alfajiri nimeishamaliza kujiandaa tayari kwenda kazini na Ofisi ni mwendo wa dakika Tano tu.

Kama Mama Samia anatoa hela ya bure kwa kuchangia tu JF na mimi Mtoto wa Shule nimekuwa JF tangu 2014 na sijawahi kuramba hata buku! Tafadhali naomba uniunganishe niache kubet! Ahahahahaha!!!
 
Upinzani ni hulka ya mwanadamu. Kamwe hauwezi kufa. Miaka hiyo nilipokuwa mwanafunzi niliwahi kufundishwa hivi; Man is a political animal.

Ikitokea wakamfunga kwa hila, basi hao wakoloni weusi watambue fika watatokea akina Lissu wengine wa kutosha tu wa kuwakosoa.
wamfunge kwa kosa lipi. Tusikubali. waTanganyika tusikubali uonevu huu wa wazi! Bora tugawane mbao !!!!
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Sidhani kama itakuwa hivyo kwa upinzani iwapo atahukimiwa kifo/kifungo.Hali hiyo itazidisha chuki,sumu,hasira na kuzaa mbinu nyingine zaidi za mapambano ya moja kwa moja.Muda utatoa majibu.
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Hapo siyo mwisho kuna Court of Appeal full bench jopo la Majaji 7.

Sidhani hii half bench ya Majaji watatu kama watakubali kujidhalilisha.
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Mkuu, ''upinzani'' siyo vyama na mikutano. ''Upinzani'' ni kuridhika/kutoridhika kwa wananchi juu ya uongozi wa nchi, yaani yale yaliyo kwenye maisha na mioyo ya raia. Vyama na majukwa ya siasa ni mdomo tu wa kuongelea yaliyopo kwenye mioyo ya wananchi. Yes, wanaweza kuua upinzani wa kwenye majukwaa, lakini wananchi wakatumia njia nyingine ku-react. Tena hii kesi wakijifanya kumkuta na hatia ndiyo itawaweka pabaya zaidi. Najua wanaweza kufanya hivyo kwa sababu wamelewa madaraka chakari na hawajui walifanyalo lakini wanaipeleka nchi sehmu mbaya kabisa.
 
Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Hizi ni hisia zako. Sheria inataka uonyeshe bila kuacha punde ya shaka muungano wa yaliyotokea na Lissu. Infact case ya kuonyesha kuwa vurugu za 29/10 zilisababishwa na Samia and co ni rahisi zaidi ku-proove
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Kama itakuwa hivyo watafunga wangapi.
 
Mashoga nenden mkawasaidie kina katuga kesho shenzi nyinyi nguruwe wa kizimkazi
Vituo vya kupigia kura gani sasa wakati kura wanapiga walimu ? Kuna haja gani ya kupoteza pesa si bora muwape walimu wasahihishe tu majumbani kwao huko na sio kutuletea sinema za kichoko miaka hii kila mtu anajua upuuzi unaomfanyia
 
Hizi ni hisia zako. Sheria inataka uonyeshe bila kuacha punde ya shaka muungano wa yaliyotokea na Lissu. Infact case ya kuonyesha kuwa vurugu za 29/10 zilisababishwa na Samia and co ni rahisi zaidi ku-proove
Hao ni mashabiki mazuzu yaliyovuta moshi wa laana ya jitu linaitwa mwenge
 
Hizi ni hisia zako. Sheria inataka uonyeshe bila kuacha punde ya shaka muungano wa yaliyotokea na Lissu. Infact case ya kuonyesha kuwa vurugu za 29/10 zilisababishwa na Samia and co ni rahisi zaidi ku-proove
Walioshtakiwa kwa Uhaini wa october 29 ni kina Niffer na wengine na karibu wote walishaachiwa.

Lisu hayupo mahakamani kwa mambo ya october 29 wauwaji wanajurikana mpaka picha zao.
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!

Katika wote waliochangia, hakuna aliyethibitisha kuwa ni mwendawazimu wa kiwango cha pekee kama ulivyofanya. Mada kama zinazohitaji akili na upeo mkubwa, watu msio na akili timamu wala upeo mkubwa kama wewe mngekuwa mnatulia kuliko kuweka takataka kama hii uliyoiweka. Cursed is you the home of satan.
 
Hukumu ya kumnyonga Lissu ilpo ilishaandikwa kwa agizo la Jezebel wanaangalia tu wakati muafaka wa kuisoma, ila kama Mungu aishivyo Tanzania itashuhudia machafuko makubwa sana na ndiyo itakuwa anguko kuu la CCM.
 
Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?
Mzee unamwambia Mpumbavu aache Upumbavu?
 
Back
Top Bottom