Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Lissu HAWEZI kukutwa na hatia.

Fahamu hilo.

Ushahidi wa serikali haramu hauna mashiko.

Treason ili itokee lazima kuwe na mipango/njama tena kwa vitendo kama vile silaha zilikamatwa(zilizopagwa kutumika kupindia serikali), kikundi cha watu (kwa maana hii Lissu na kikundi chake), sasa haya yote hayajafanyika. Uhaini haufanywi na mtu mmoja.

Mwisho, mimi namkumbusha Lissu au mpinzani yeyote siku mkichukua madaraka hakikisha mnawatafuta polisi, viongozi wa CCM, maafisa usalama, machawa etc. Kazi ya kwanza ni KUWAPOTEZA 😡

Wakikimbilia nje ya nchi watafutwe popote walipo.
Na kwa jua Hilo ndio maana shtaka lao wamesema maneno ya Lissu yalikuwa yana Nia ya kuitisha Serikali bahati nzuri napo Lissu akawabana maana huku ndiko wangeondoka na point 3 kwa kuwa Kuna room ila Tundu Lissu alikuwa mbele ya muda ndio maana akataka vyombo vyake vyote vinavyounda Serikali vijekuthibitisha ikiwemo Raisi, Mawaziri na wengine wanaounda Serikali ili waoneshe wametishikaje but wakala Kona wakati Lissu alivyoamua wawe mashahidi wengi wakaona ni mjinga ila alijua hawataweza kuja kwa sababu kesi yao ni ya mchongo
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Maneno ya mtu anayekaribia kupata aibu yanajulikana.. Acha panic Si ulisema lazima anyongwe nasi tunasubiri kwa hamu.

Huyo Nchimbi ni wa kwenu mtajuana nyie hukohuko mlikomweka ila huyu Mwamba wetu acha tuone.
 
Kumtia hatiani sio tu kunaibagaza nchi bali unaondoa trust ya mahakama kabisa kwa kuwa umma na ulimwengu tayari unahukumu mkononi na inaweza kuchochea hasira za watu zaidi. It is very open kuwa hakuna uhaini pale na Lissu amejua kuwa majaji watakumbilia kwenye sedition ndio maana amewahi kwenye hilo.Pia Lissu kuwa Gerezani kutaendelea kuharibu jina la Rais aliyo madarakani kwani Umma utamzungumzia zaidi Lissu.Jiulize kwa nini hadi wazee vijijini wanajua kuhusu hii kesi na hawajui kuwa kuna makamu wa rais mpya na Jina lake ndio usiulize hawajui chochote.
Kuendelea kumtia hatia nadhani kunaweza kukawa vibaya zaidi kwa picha ya Tanzania mbele ya mataifa ya nje hasa ulaya. Na hasira za Wananchi dhidi ya Serikali itaongezeka zaidi. Hii inaweza ikapelekea kuwa na mambo mengi negatives ndani ya nchi.

Pili, kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi mwaka jana, nadhani wanaona kabisa jamaa anaweza akayakuza zaidi hayo mambo huko nje za nchi kisheria ili wajue nini kilitokea Tanzania.

CCM ingeweza kuingia kwenye Uchaguzi kwa reforms ambazo CDM walikuwa wanazitaka na bado CCM ingeshinda. Mzizi wa huu upuuzi wote ulianzia kwa JPM, yeye ndiye aliyefuta kabisa Upinzani. Sitaki kuamini upinzani ungekuwa na wabunge hata 70 basi nchi ingekuwa na uchungu kama ilivyo sasa.
 
Fedha za damu ulizopewa na Samia zinakusumbua ipo siku zitaishia kwenye matibabu ya Mama Yako Ocean Road Hospital
Kabisa mkuu, ipo siku hatakuja kuamini. Mtu huwezi kuwa mshenzi kiasi hiki.
 
Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!

Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!

Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.

Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.

Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.

Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
Huyo hukumu iwe iwavyo, tayari mahakama zinadharaulika, lakini zitadharaulika zaidi zikitoa hukumu ya kipuuzi kama ule uchaguzi uliomtamgaza Samia kwa kura 31m.
 
Lissu huwa ahead of time hata alivyowataka Raisi, Majaliwa na Mpango waje mahakamani kutoa ushahidi baadhi yetu waliona kachanganyikiwa ila si umeona ilivyomlipa
Umemlipa Sana amekuja Ku conclude kwamba hakuna aliyetishika ndio Maana hayupo hata Shahidi wa Executive aliyekuwa Mahakamani licha ya kualikwa na mahakama
 
Basi ndio wataaribu zaidi yaani wataibuka wanaharakati kila mahali hii nchi..
Ma itakuwa mbaya sana kwa upande wao... Hata huko ccm Kuna watu atleast wenye utu wapo sympathy na lissu shida ni kwamba wanajua wakiinua tu kichwa wanajua litakalowapata kama yaliyompata pole nyingi kwa nchimbi
 
Kuendelea kumtia hatia nadhani kunaweza kukawa vibaya zaidi kwa picha ya Tanzania mbele ya mataifa ya nje hasa ulaya. Na hasira za Wananchi dhidi ya Serikali itaongezeka zaidi. Hii inaweza ikapelekea kuwa na mambo mengi negatives ndani ya nchi.

Pili, kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi mwaka jana, nadhani wanaona kabisa jamaa anaweza akayakuza zaidi hayo mambo huko nje za nchi kisheria ili wajue nini kilitokea Tanzania.

CCM ingeweza kuingia kwenye Uchaguzi kwa reforms ambazo CDM walikuwa wanazitaka na bado CCM ingeshinda. Mzizi wa huu upuuzi wote ulianzia kwa JPM, yeye ndiye aliyefuta kabisa Upinzani. Sitaki kuamini upinzani ungekuwa na wabunge hata 70 basi nchi ingekuwa na uchungu kama ilivyo sasa.
Kusema kwamba CCM wangeshinda si kweli. CCM wao wenyewe wanajua uhalisia kwamba kwa hali ilipofikia bila back up ya vyombo vya dola ikiwemo polisi hawawezi kutoboa.

Ni mwendo wa kukwapua uchaguzi
 
Lakini hebu niulize swali. Kwanini hizi dhahama za kesi ,kupotezwa,kutekwa na hata kuuliwa zinawapata watu wa upande mmoja wa muungano? Mbona sijawahi sikia sana kwa upande ule mwingine?
Okay mnataka kuniambia upande ule umejizatiti haswa ili kuvuna asali kadiri wawezavyo kwenye misitu ya Tanganyika?
NB:Ccm hawampendi Tal hata kidogo , kwa magu alinusurika kuuawa, ikafika awamu hii bado wembe ni ule ule... Ina maana wamedhamiria.
Je, kosa la Lissu ni kuwa mkweli?
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Uzuri TANZANIA NI INCHI YA KUSADIKIKA WAJINGA WAJINGA KAMA NYIE HAMKOSI KILA JAMBO LAzima lipate watetezi unaona kweli kila kinachoendelea nibsahihi wew ndgu yetu popoma zimwamwa
 
Umesahau nyingine ile "kesi uchwara ya mgao wa mali Bara na Visiwani " ya wale machawa akina salum mwalimu na kuzuia chama kufanya kazi kwa muda mrefu.
Yaani msururu wa kesi dhidi ya chama kimoja, hadi wasiojua Siasa wanaona jinsi CDM inavyoonewa.

Katika jambo CCM hawakujiandaa nalo ni Lissu na Heche kuwa Viongozi wakuu wa CDM
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
***** at your most pathetic form, watu wenye misimamo unshakable hudhurika au hufa lakini principles zinasimama. Lissu alishamiminiwa risasi lukuki kwa sababu ya kusimamia yale anayoyaamini na hajawahi kuyumbishwa, machoko ambao kwao maslahi binafi huwa ndiyo priority hawawezi kuelewa aina ya misimamo ya Lissu. Watu hukubali kufa hata kama ni kwa faida ya generations zijazo, it's called paving the way for the future generations.
 
Back
Top Bottom