Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Mtu anayekwambia waziwazi kwamba kwenye uhaini options ni mbili tu kifo ama kuachiwa huru unasema anaomba huruma?

Yaani mtu anayekwambia yupo tayari kufa akipigania haki lakini sio kuishi kwa kupiga magoti bado huoni spirit ya ujasiri wa hali ya juu kabisa?

Lissu amevutiwa wengi sana kumpenda hata wale ambao hawakuwa na mwamko wa siasa sasa wanaona waziwazi Lissu ndiye mkombozi pekee aliye tayari kwa lolote lakini sio kuinamisha kichwa chini kutaka sympathy.
 
Mwanzo alionyesha kama hataki kuendelea na hii kesi imemkalia vibaya, hapa mwisho ameonyesha hapaswi kufungwa kwa mjibu wa sheria zetu. Waliofuatilia kesi hii wanakubaliana naye kwa kile anasema, hata asiyejua sheria alihakikisha anaelewa hatua kwa hatua kupitia vifungu alivyokuwa ananukuu.
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Mbona kama unataka kulia?!
 
Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisu
Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
TAL Angelika huruma angeiomba kwa Raisi. Hoja ya TAL kutaka huruma haiingii akilini kwa namna alivyoipeleka kesi.
 
Hakuna ground za uhaini kwenye hii kesi

Hadi tumefika hatua ya hitimisho, hakuna kielelezo hata kimoja Cha upande wa mashtaka kilichopokelewa kama sehemu ya ushahidi wa Uhaini

Ni meneno tupu bila evidence
Mbaya zaidi... Kawaambia Majaji hati ya mashtaka Kuna maneno yametolewa ili kubadili maana ...yaani Yale maneno Yana vidoti Kisha sentensi inaendelea..

Ina maana Majaji watajiuliza kama Kuna maneno yametolewa ni yapi ? Hapo ndipo ushahidi wa video ungehitajika ili wasikilize na wao ...ila Sasa video haipo
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Rubbish...
 
Punguza upumbavu kichwani mwako. Yaani ufungue kesi ya Uhaini leo huku ukitegemea ushahidi wa miezi mitano baadae!? Ina maana mpaka unaifungua kesi ulikuwa huna ushahidi!?
Kesi ilifunguliwa kwa ushahidi wa maneno, baada ya vurugu kutokea kweli,na ushahidi wa vitendo umeongezeka, kuna kosa kuongezeka kwa ushahidi, wakati kesi inaendelea?
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
WEwe maku chawa, endelea kulamba mataqo ya mtawala kilaza!
 
Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!

Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!

Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.

Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.

Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.

Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
Nitafurahi sana mtakapoleta posts kama hizi pale atakapohukumiwa kunyongwa hadi kufa.
 
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!
Mabwege ni wewe unayegongwa kwenye makorido ya Lumumba na bado subirin tarehe ya Hukumu ndio mtaelewa vizuri kesi kwishaaa.
 
Iwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
Lissu HAWEZI kukutwa na hatia.

Fahamu hilo.

Ushahidi wa serikali haramu hauna mashiko.

Treason ili itokee lazima kuwe na mipango/njama tena kwa vitendo kama vile silaha zilikamatwa(zilizopagwa kutumika kupindia serikali), kikundi cha watu (kwa maana hii Lissu na kikundi chake), sasa haya yote hayajafanyika. Uhaini haufanywi na mtu mmoja.

Mwisho, mimi namkumbusha Lissu au mpinzani yeyote siku mkichukua madaraka hakikisha mnawatafuta polisi, viongozi wa CCM, maafisa usalama, machawa etc. Kazi ya kwanza ni KUWAPOTEZA 😡

Wakikimbilia nje ya nchi watafutwe popote walipo.
 
Back
Top Bottom