Haya mambo hatari sana aiseeIwapo wakimtia hatiani,basi upinzani ndio kwisha nchi hii!Mtu atapanda jukwaani kuongea Nini?Akiteleza kidogo akatamka maneno wasiyoyapenda serikali basi anafunguliwa kesi ya Uhaini na rejea itakuwa kesi ya Lissu!
o maneno yanaumiza sana kina Yona na mwaipopo wakiona yupo tayar kufa na kasema hakuna kesi ndogo eti afungwe miaka 3 Kwa kesi ya uhainiHii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
ok.Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
Mabwege km wewe ni yale yanashabikia ila siku akipatikana na hatia akashughulikiwa huna msaada wowote. Mlishabikia Nchimbi juzi tu leo hakuna mnachoweza kumsaidia. Ni kwa kuwa Lissu ni mpumbavu angekuwa na maarifa asingefanya upuuzi anaoufanya, hakuna cha mwamba ni kwamba amepanic anaomba huruma ya jamii na ya majaji, ni km anatoa rushwa aache usengerema siyo kila mtu ni zuzu!Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
We tulia hakuna unachojuaHakuna ground za uhaini kwenye hii kesi
Hadi tumefika hatua ya hitimisho, hakuna kielelezo hata kimoja Cha upande wa mashtaka kilichopokelewa kama sehemu ya ushahidi wa Uhaini
Ni meneno tupu bila evidence
Hakuna ground za uhaini kwenye hii kesi
Hadi tumefika hatua ya hitimisho, hakuna kielelezo hata kimoja Cha upande wa mashtaka kilichopokelewa kama sehemu ya ushahidi wa Uhaini
Ni meneno tupu bila evidence
Japo serikali yetu hainyongiHii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
Cheap is expensiveok.
cheap is now cost, right?
Huu ushahidi unatosha kumnyonga LisuHii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala!
Pia mwamba kaweka hadharani kila kitu sasa sijui majaji wataegemea wapi kumkuta na hatia! Kila kitu kaweka wazi.
Nimeupenda sana msimamo wa Lissu na kwa mara ya kwanza kwa sisi wengibe tunaenda kushuhudia hukumu kamili ikisomwa kwenye kesi ya uhaini tena dhidi ya mpigania demokrasia. Kwa hakika tunaisubiri kwa hamu hii siku.
Ni ama mahakama idharaulike jumla mpaka ngazi za kimataifa au iheshimike kwa kutenda haki.
Hongera sana Mwamba Lissu hakika kupitia wewe Tanzania mpya inazaliwa!
Vipi uko mahakamani? Ni exhibit namba ngapi?Huu ushahidi unatosha kumnyonga Lisu
Alijaribu kuzuia uchagu,zi kwa kuchoma vituo vya kupigia kura, kukata vidole wapiga kura.,kuchoma vituo vya mafuta, haya yote yamesababishwa na maneno ya tundu lisuIthibitishie mahakama namna lissu alivyo kinukisha na kuzuia uchaguzi ambao kwa mujibu wa mtangaza matokeo alisema samia ameshinda kwa asilimia lukuki Laki Si Pesa
Kwa hiyo huoni kosa kwenye hayo maneno?Vipi uko mahakamani? Ni exhibit namba ngapi?
Kwahiyo aliongea sekunde hizo 37 pekee?