Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Sasa ukatili huo ni saw tu wa October 29
 
Sasa ukatili huo ni saw tu wa October 29
Bora hata wale wanawapiga wanawaacha mahututi, matahira na mashetani ya kwetu yalikuwa yanauwa ilimradi kuua hata watoto, vijana nguvu kazi wamejikalia zao wanawalaza chini wanamimina risasi, umbwa zile kila nkitafakari naingia kuombea mashef woote kuanzia juu wakufe kifo cha mubaya sana
 
Tenda wema nenda zako.fadhila antia mungu tu.
 

Mwambie huyo ety nae anaona wew ndo hierewi
 
Asante umenisaidia ,yaani watanzania wenyewe wabaguzinety wakienda inchi za wengine wasubaguliwe wao
 
Hakuna mpambanaji anaenda nchi za watu ,narudia tena hakuna mpambanaji wa hivyo zaidi ni mpenda kitonga.

Sasa mbona mnaleta huruma?😅😅 Mnatia huruma wakimbizi , serikali iliwapeleka
.Pambaneni sasa kama mnayaweza.
Yaaan wameenda wenyewe hawataki kujenga inchi Yao wanaenda kujenga inchi za wengine arafu saiv wanataka msaada kutoka inchin kwao
 
Hahahahahahahah wake walimu uvivu tu wakulima
 
Mwambie huyo ety nae anaona wew ndo hierewi
Bado natafakari ameandika nini! Mauaji ya 29 October anaona ni sawa waliouliwa kwasababu walikuwa wa maisha ya chini! Naye masikini hadi mawazo tu kwahiyo yeye anaamini utu wa mtu ni pesa tu kama huna pesa kuuliwa na kunyanyaswa ni sawa? Haya walizuia wapi mtu kwenda kupambania ndoto zake kwa kuanzia chini mpaka ajipate? Kwani kuhustle mtaani ndio ticket ya mtu kubaguliwa na kufanyiwa unyanyasaji wa vile? Narudi tena kwenye issue ya 29 yaan anachukuliaje mtu wa tabata, kimara, magomeni, manzese kuuliwa na kuachwa wale wa masaki na mikocheni kwamba ilikuwa halali watu wa kati na wa chini kukatili uhai wao bila sababu na wengine wakiwa majumbani, kwenye shughuli zao za utafutaji, aaahh huyo naye senge senge baya
 
Yaaan wameenda wenyewe hawataki kujenga inchi Yao wanaenda kujenga inchi za wengine arafu saiv wanataka msaada kutoka inchin kwao
Kuvuka border na kupanua wigo wa utafutaji ni ndoto ya kila anayetafuta ndugu pale hawaendi kujenga uchumi wa kule ila ni kujijenga wao, sema tu huna uwezo huooo kuna raha ya kuvuka border hasa ukiwa na malengo hizo ni kauli za sizitaki mbichi hizi. Hakuna anayependa born here here die here here 🙌
 
Bora wacje uku tume mpk ss inatafuta Nani wakumpatia jumba bovu la siraha.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Vuka border ukiwa unamejiandaa sio vuka border ukauze matunda
 
Wakimbizi mpigwe tu ,si mnasema hauwezi kufanikiwa ukiwa kwenu..Pambaneni ; kila kitu mnalaumu serikali.
Hakuna haki ya kumpiga mtu yeyote bila kosa. Huyu kavunjwa taya, meno, na pengine hana muda mrefu wa kuishi halafu wewe unatanguliza ushuzi wako hapa, mpumbavu wewe unayetumia makalio kufikiri. Hakuna anayelaumu serikali, ni utaratibu kama raia wa nchi zingine wapo kwenye nchi zenye shida kuomba kuondolewa na wenye jukumu la kufanya hivyo ni serikali. Mbona watanzania waliopo DUBAI walipelekewa ndege? Au hawa unaowaona hapo ni second class citizens? Tumia kichwa chako kwenye kufikiri badala ya kutumia makalio yako, mpumbavu wewe usiye na akili hata moja.Free movement, kila mtu anayo haki ya kwenda popote pale anapoona kunafaa ili mradi amefuata sheria, hata kama hajafuata sheria, kuna mahakama. Wewe ni mshenzi usiye na akili, unafurahia kuona watu wakipigwa...fala wewe.
 
Kupigwa utapigwa , na hakuna kitu utafanya ..Endelea kuamini ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…