Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

Halafu matokeo yake hawahawa wenye uwezo mdogo ndio wanaokuwa watumishi wa serekali, hii ndio inapekelekea mambo ya serekali kuendeshwa kwa maguvu na akili kidogo, huku kukiwa na ufanisi duni.

Na wengi wa hao vilaza hutokea kuwa makada wa ccm, Hadi uzee wao unakuta wanategemea Hila tu maana wamelelewa kwa njia ya mbeleko. Wengi wa watu wenye akili huru ni adui waccm, ndio sababu ya huo upendeleo kwa vilaza.
Nimekuelewa sana duuh

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi toa wazo..
Kwanini Serikali isiziboreshe shule zake nyingi ziwe na ubora wa hawa washindani(private school)..
Ili wazazi tupunguze haya malalamiko.
Haiwezekani mpaka leo hiii eti zile shule za wakoloni ndo best schools to date. Huu ni uvivu wa kufikiri..wa serikali ya CCM.
 
WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.

Mleta hii thread ni moja ya wale wazazi wabinafsi,na wazazi ambao huwa hawathamini watoto wa wengine zaid ya wakwao tu.
Kaa kwenye uzi wa mleta hoja.. kama una yako anzisha uzi wako.
 
Mambo usiyoyajua mkuu usikimbilie kuja kuilaumu serikali, kilichofanyika hapo ni hesabu ya hali ya juu! Wewe umeshindwa kungamua tu!! Kwa hili naipongeza serikali! Kilichofanyikq hapo mm nakijua ni utaratibu na hesabu ndizo zinazofanya hivyo mkuu wala sio ubaguzi!!
Mazingira sawa ? How? Yaana aliesoma private na government wawe na mazingira sawa? Walimu sawa? Miundombinu sawa? Kisa tu wako eneo moja? Serikali iko sawa kabisa, mim mwanangu yuko private akifaulu ntapambana aende shule teule za private..
Kama nakuelewa hivi mkuu
ila ngoja nirudie kusoma post kuna nukta naunganisha
 
Hao wenye D shule za Kata Form four wanapiga division 4 wanaingie ile chuo kikuu kipo Moshi kina wakurya wengi sijui kinaitwa sisipii .
Kile chuo kilitakiwa kiwe kinachukua watu smart ambao hata akikabidhiwa manati ya wazungu na rungu anajua wapi pa kutumia na mazingira gani inakiwa uvute trigger

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.

Mleta hii thread ni moja ya wale wazazi wabinafsi,na wazazi ambao huwa hawathamini watoto wa wengine zaid ya wakwao tu.
Mkuu labda hujanielewa vizuri. Hapa tunaongelea slection ya wanafunzi na hii haihitaji mtu kuwa tajiri, mbinafsi au mchoyo ili mtoto wake achaguliwe. Wanafunzi inafaa wachaguliwe based on MERIT. Hiki ndicho kigezo cha kitaaluma kinachotakiwa kufuatwa.

Lakini sasa serikali imeacha kuchagua wanafunzi kwa kigezo cha UFAULU badala yake wanaangalia MAZINGIRA ya kufundisha. Hii ni mentality ya kipumbavu sana.
 
Kile chuo kilitakiwa kiwe kinachukua watu smart ambao hata akikabidhiwa manati ya wazungu na rungu anajua wapi pa kutumia na mazingira gani inakiwa uvute trigger

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Silabasi yao "hairuhusu rizoningi" !

Wakikukamata wanakwambia "utajieleza huko huko Mbele"

Unachoma mafuta toka Dar kwenda Arusha kumkamata Lema, wakati ukimpigia Simu anakuja mwenye kituoni.
 
Ina tija gani?

Halafu ili iwe nini?

Na kwanini?

Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA?

Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi?

Hizi shule ambazo serikali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake?

Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average, wote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.

Hii inakaaje. tamisemi sijui Wizara ya elimu tupeni majibu.

How come effort brings you to disappointment than achievement?
Nililisema hapa..
 
Alivyomuondoa Dr.Msonde pale NECTA nikajua hapa hadhi ya NECTA lazima ishuke tu!
Shida Wanzanzibar wabaguzi na wadini sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tangu alipompeleka yule mpemba mwenzake kule NECTA, elimu yetu inazidi kushuka kila kukicha. Inasikitisha sana.
 
Afu we kumbe una tatizo...
Kumbe you really have a problem..
Huwa nakucheki tu kule.. kumbe una shida serious.
Yametoka wapi yote Ayo mkuu?

Nadhan Tungejikita Kwny kujibu hoja za mtoa mada bila jazba badala ya kushambuliana sisi kwa sisi personally.
 
Huu mfumo unaridhisha walalahoi kwamba umpeleke wakwao shule private lakini wangu wa kawaida atapendelewa[emoji41][emoji45]naomba niulize mitihani (maswali) ya 4&7 ni zile zile (Yale Yale) kwenye kawaida na private? Lugha inayotumika ni Kiswahili kote au wa private wanatumia kichina wanachofundishiwa[emoji1787]
 
Mambo usiyoyajua mkuu usikimbilie kuja kuilaumu serikali, kilichofanyika hapo ni hesabu ya hali ya juu! Wewe umeshindwa kungamua tu!! Kwa hili naipongeza serikali! Kilichofanyikq hapo mm nakijua ni utaratibu na hesabu ndizo zinazofanya hivyo mkuu wala sio ubaguzi!!
Hizi hadithi za abunuwasi za kwamba ni mambo asiyoyajua hazina tena nafasi nyakati hizi.
Unachotakiwa kuweka hapa ni hizo hesabu zinazothibitisha siyo ubaguzi.
Umasikini wa fikra na mali kwa vizazi vijavyo utashamiri kwa sababu ya majibu kama haya.
Tuisadie serikali kwa kutoa maelezo yenye mantiki na weledi kwa faida ya wote na ustawi wa taifa.
 
Mazingira sawa ? How? Yaana aliesoma private na government wawe na mazingira sawa? Walimu sawa? Miundombinu sawa? Kisa tu wako eneo moja? Serikali iko sawa kabisa, mim mwanangu yuko private akifaulu ntapambana aende shule teule za private..
Uko sahihi Kuna mifumo miwili ya private na public wa wanachukua wa kwao waliosoma public schools sioni shida
 
WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.

Mleta hii thread ni moja ya wale wazazi wabinafsi,na wazazi ambao huwa hawathamini watoto wa wengine zaid ya wakwao tu.
Nakazia,
Laiti hiki anachotetea mtoa mada kingewekwa kwenye selection za ajira za serikali

Watoto wote wa maskini wasingeajiliwa maana ufauli wao usingefikia waliosoma private
 
Mtoto aliepata B ya akisoma kayumba
Uwezi mfananisha na mtoto aliepata A akisoma Private school

Ni watoto wawili wenye uwezo tofauti ukizingatia vema mazingira ya usomaji

Kingine, Watoto wengi toka private wanaochaguliwa shule teule, hawaendi

Wanaenda zao feza, Marian, n.k

Nadhan serikali pia imezingatia hilo
Huwa hawaendi kwan, ndo maana serikali imeamua kuwachukua wahitaji
 
Back
Top Bottom