...Utafiti huu haujakamilika
...Wengi wanaounga mkono ni wadandiaji.
Lugha iliyotumika lacks objectivity and professionalism.
tpaul hajaotoa ushahidi au hoja yoyote ile yenye mashiko inayounga mkono madai yake kwamba Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi.
Itoshe, kutumia matokeo ya mitihani mlolongo mrefu wa sijui, walioteuliwa/kuchaguliwa kuendelea na masomo ya form one kama msingi wa madai yakr bila ya kueleza jinsi na kwa nini Serikali ndio ishutumiwe kwa madai ya kukosekana haki, is irrsponsible.
Nashauri Serikali na wadau wengine wakalitizame hili la huyu Mleta mada. Kwa sababu inawezekana kabisa anataka kuchonganisha Serikali na wananchi.
Pia,
JamiiForums wakalitizame hili kupitia Jamiicheck.