Watoto tuliotoka Kayumba kwenda hizo shule maalum za serikali tunajua kwamba, vijana watokao private schools na straight A's zao si kwamba wana akili nyingi sana kuliko sisi wa mchanganyiko wa A's na B's.
Walitumkimbiza kidogo from 1 kwa vile ndo tulikuwa tukijifunza English. Form two mizani ikabalance.
Form 3 mpaka 4 wakafunikwa vibaya kabisa kitaaluma, wakabaki kuturungishia tu ma-Nido, Blue band na pocket money ambazo hatukuwa nazo.
Equity ichukue nafasi yake katika selection. Serikali iko sahihi kabisa.