jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.Kwani we watoto zako wako wapi!?
Nimekuelewa sana duuhHalafu matokeo yake hawahawa wenye uwezo mdogo ndio wanaokuwa watumishi wa serekali, hii ndio inapekelekea mambo ya serekali kuendeshwa kwa maguvu na akili kidogo, huku kukiwa na ufanisi duni.
Na wengi wa hao vilaza hutokea kuwa makada wa ccm, Hadi uzee wao unakuta wanategemea Hila tu maana wamelelewa kwa njia ya mbeleko. Wengi wa watu wenye akili huru ni adui waccm, ndio sababu ya huo upendeleo kwa vilaza.
Kaa kwenye uzi wa mleta hoja.. kama una yako anzisha uzi wako.WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.
Mleta hii thread ni moja ya wale wazazi wabinafsi,na wazazi ambao huwa hawathamini watoto wa wengine zaid ya wakwao tu.
Mambo usiyoyajua mkuu usikimbilie kuja kuilaumu serikali, kilichofanyika hapo ni hesabu ya hali ya juu! Wewe umeshindwa kungamua tu!! Kwa hili naipongeza serikali! Kilichofanyikq hapo mm nakijua ni utaratibu na hesabu ndizo zinazofanya hivyo mkuu wala sio ubaguzi!!
Kama nakuelewa hivi mkuuMazingira sawa ? How? Yaana aliesoma private na government wawe na mazingira sawa? Walimu sawa? Miundombinu sawa? Kisa tu wako eneo moja? Serikali iko sawa kabisa, mim mwanangu yuko private akifaulu ntapambana aende shule teule za private..
Kile chuo kilitakiwa kiwe kinachukua watu smart ambao hata akikabidhiwa manati ya wazungu na rungu anajua wapi pa kutumia na mazingira gani inakiwa uvute triggerHao wenye D shule za Kata Form four wanapiga division 4 wanaingie ile chuo kikuu kipo Moshi kina wakurya wengi sijui kinaitwa sisipii .
Mkuu labda hujanielewa vizuri. Hapa tunaongelea slection ya wanafunzi na hii haihitaji mtu kuwa tajiri, mbinafsi au mchoyo ili mtoto wake achaguliwe. Wanafunzi inafaa wachaguliwe based on MERIT. Hiki ndicho kigezo cha kitaaluma kinachotakiwa kufuatwa.WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.
Mleta hii thread ni moja ya wale wazazi wabinafsi,na wazazi ambao huwa hawathamini watoto wa wengine zaid ya wakwao tu.
Silabasi yao "hairuhusu rizoningi" !Kile chuo kilitakiwa kiwe kinachukua watu smart ambao hata akikabidhiwa manati ya wazungu na rungu anajua wapi pa kutumia na mazingira gani inakiwa uvute trigger
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wanachukua kiwilaya.Sidhani.
Nahisi wanaochaguliwa kwenda shule teule ni waliofaulu kuliko wote nchi nzima.
Nipo tayari kukosolewa.
Nililisema hapa..Ina tija gani?
Halafu ili iwe nini?
Na kwanini?
Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA?
Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi?
Hizi shule ambazo serikali inaziita special kwanini zisiwe nyingi ili mtoto apate haki yake?
Haiwezekani. Huko darasa la saba imeshazoeleka, wanafunzi wanahitimu wanafaulu with grade A average, wote wanasogezwa sekondari za kata. Sasa huu utaratibu naona unakuja na kuko A level.
Hii inakaaje. tamisemi sijui Wizara ya elimu tupeni majibu.
How come effort brings you to disappointment than achievement?
Tangu alipompeleka yule mpemba mwenzake kule NECTA, elimu yetu inazidi kushuka kila kukicha. Inasikitisha sana.Alivyomuondoa Dr.Msonde pale NECTA nikajua hapa hadhi ya NECTA lazima ishuke tu!
Shida Wanzanzibar wabaguzi na wadini sana!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wenu mlitaka wachaguliwe shule gani zaidi ya kata?mtoto kapata A ya 92 unataka apelekwe shule ambayo inachukua A ya 98_100?
Yametoka wapi yote Ayo mkuu?Afu we kumbe una tatizo...
Kumbe you really have a problem..
Huwa nakucheki tu kule.. kumbe una shida serious.
Sio lazima tufanane mitizamo mkuuNa ndo maana nimesema una shida.
Unahitaji msaada.
Hizi hadithi za abunuwasi za kwamba ni mambo asiyoyajua hazina tena nafasi nyakati hizi.Mambo usiyoyajua mkuu usikimbilie kuja kuilaumu serikali, kilichofanyika hapo ni hesabu ya hali ya juu! Wewe umeshindwa kungamua tu!! Kwa hili naipongeza serikali! Kilichofanyikq hapo mm nakijua ni utaratibu na hesabu ndizo zinazofanya hivyo mkuu wala sio ubaguzi!!
Uko sahihi Kuna mifumo miwili ya private na public wa wanachukua wa kwao waliosoma public schools sioni shidaMazingira sawa ? How? Yaana aliesoma private na government wawe na mazingira sawa? Walimu sawa? Miundombinu sawa? Kisa tu wako eneo moja? Serikali iko sawa kabisa, mim mwanangu yuko private akifaulu ntapambana aende shule teule za private..
Hujui kitu. Ungekijua ungeandika hapaKilichofanyikq hapo mm nakijua ni utaratibu na hesabu ndizo zinazofanya hivyo mkuu wala sio ubaguzi!!
Nakazia,WAtoto zangu kusoma international au government school's hakuwezi kunifanya kuwa mkatili na mbinafsi kwa watoto wengine.
Mleta hii thread ni moja ya wale wazazi wabinafsi,na wazazi ambao huwa hawathamini watoto wa wengine zaid ya wakwao tu.
Huwa hawaendi kwan, ndo maana serikali imeamua kuwachukua wahitajiMtoto aliepata B ya akisoma kayumba
Uwezi mfananisha na mtoto aliepata A akisoma Private school
Ni watoto wawili wenye uwezo tofauti ukizingatia vema mazingira ya usomaji
Kingine, Watoto wengi toka private wanaochaguliwa shule teule, hawaendi
Wanaenda zao feza, Marian, n.k
Nadhan serikali pia imezingatia hilo