Mkuu utafiti wako hautoshelezi.
Kwanza- Mbele ya yote, huna uwezo wa kuninyamazisha, na hiyo ukae ukijua. Huna.
Pili, Hoja yangu ipo wazi kabisa.
- huna weledi
- huna elimu ya kufanya utafiti wa aina hiyo(correct me if i'm wrong)
- huna ushahidi wowote ule, halali au hoja yeyote ile ya kuunga mkono madai yako kwamba serikali inawabagua wanafunzi wa shule za private.
Siwezi kukaa kimya kamwe kama kuna watu kama wewe mpo hapa kuulaghai Umma wa Watanzania.
Hatahivyo ukweli utabakia pale pale....kwamba...
Huu si utafiti. Ni kasfha..