Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Aiseee
Wewe na mleta post,wote ni wapumbavu.Unamkataje dereva point kwa ubovu wa gari la tajiri,unamkataje point dereva kwa mibarabara mibovu,.Ujinga Ujinga kama hao wajinga wenzenuSerikali itoe tamko kwa makampuni ambayo madereva wao wamekataa kuendesha magari kuwa wawaachishe kazi waajiri madereva wapya ambao wapo tayari kufata sheria na kanuni za barabarani.
Acha masihara mkuu, mazingira ya kutaka chochote kitu yanatengenezwa na police wenyewe. Tena kwa kulazimishia.polisi wanakula rushwa kwasababu ya madereva kutoa rushwa
Kifungu wanachopenda traffic cha gari bovu ni kifungu kokolo wanachopenda sana kuwabambikia watu. Sheria inayoongelea ubovu wa gari ni hii hapa chini sasa jiulize huko njiani unapoandikiwa gari bovu je hii sheria hufuatwa?Wewe na mleta post,wote ni wapumbavu.Unamkataje dereva point kwa ubovu wa gari la tajiri,unamkataje point dereva kwa mibarabara mibovu,.Ujinga Ujinga kama hao wajinga wenzenu
Usalama wa barabarani.Acha masihara mkuu, mazingira ya kutaka chochote kitu yanatengenezwa na police wenyewe. Tena kwa kulazimishia.
Labda nikuulize swali rahisi litakalofungua fikra zako, kutoka ubungo mataa mpaka chalinze kuna vituo vingapi vya traffic hapo barabarani? Wanakagua nini?
Kutoka mwenge mpaka boko kuna vituo vingapi hapo njiani, na je wanakagua nini?
Mwisho Endesha gari la Mizigo kwa mfano, utakuja hapa kukiri jinsi traffic walivooza kwa rushwa.
Mkuu,Kwa maoni yangu naona serikali imeruka hatua, walitakiwa waweke camera za barabarani angalau miji yote mikubwa kwa kuanzia na polisi wote wavae bodycam, baaada ya hapo ndio hii sheria ianze kufanya kazi ili kupunguza mazingira ya rushwa, first world inafanyakazi kwa sababu misingi ilishawekwa tusifanye vitu nusunusu
Ni kweli mkuu;Ni kweli
Lakini wange balance kote
Kamata wala rushwa kwa kuweka plain clothes kwenye mabasi na kuwakamata hao wanaodhani ni haki yao kula hela za madereva halafu wanawaachia wakafe mbele
Traffic anaachia lorry matairi yameisha kabisa kisa kapewa buku mbili
Anaenda kuuwa watu kumi mbele
Halafu ripoti inasema break zimefeli kumbe matairi yameisha kabisa
Mifumo ya rushwa imekuwa kawaida sana yaani dereva anaweka pembeni hela ya njiani kama sheria
Najua wazungu wametoka mbali lakini pia wamewekeza sana kwenye usalama barabarani kuanzia cameras mpaka points
Unajua Ulaya makampuni ya insurance yana access mpaka traffic department
Kama una points na insurance premium zinapanda kila mwaka mpaka licence itakapokuwa safi
Unaweza ukajikuta unalipa x 3 yake kisa ulivuka traffic lights
Na ukilewa unaweza kufungiwa mi;
Natamani siku moja nione ofisini unakaribishwa na kuambiwa tukusaidie nini na unafanyiwa bila figisuNi kweli mkuu;
Hizo Nchi ulizozitaja zilifanya industrial revolution miaka ya 1800 huko na civilizations ilianza miaka 100, 200 kliyopita. Wamepitia stages nyingi hadi kufikia kuwawajibisha viongozi na makundi ya juu na sisi lazima tuanze. Kimsingi kuna hatua zinapigwa - miaka 10 ilopita bila rushwa ulikuwa hupati kabisa huduma siku hizi mambo yamebadilika kiasi.
Sasa kama wao wenyewe hawatii sheria, unategemea nini?Nchi ya kipumbavu sana hii. Unaendekeza wapuuzi fulani wasiotaka kutii sheria si upumbavu huo?
Badala ya kujenga hizo barabara; ni bora serikali ijenge SGR;Wee pimbi nini..? Kwanini usiiambie serikali yako iboreshe miundombinu...!!?
Uone kama kuna ajali zitarekodiwa za kifala kama za sasa...
Mfano Dar-mwanza njia nne, Dar- Tunduma, Dar - Arusha-Namanga halikadhalika Dar -Mtwara. Hapo 100 percentage nchi lazima ifunguke lori litatumia siku 1 tu kufika tunduma basi litatumia masaa 7 pekee mpaka 9 kwa kilomita 1000+
pia kwa bara bara hizo speed itaingezeka kutoka 80 mpaka 100-110. Fungua akili mzee... 🤨 Unalaumu madereva na wakati mzizi wa hayo upo wazi. Yubera wochi yua baki... 🤨
Wale ndio noma,ndio maana ukisikia gari ya serikali imepata ajali atoki mtuHii sheria iende mpaka kwa madereva wanaoendesha magari ya serikali..wengi wanaendesha ovyo sana bila ya kuzingatia sheria zozote za barabarani wakitegemea kings ya serikali.