Sasa nilichoongopa ni kipi au hujanielewa?ACHA UROONGO! KUDHIBITI AU KUTODHIBITI HAKUHUSIANA NA MUBEZA KWENYE MITANDAO BRO! INDIA, UGANDA NA NCHI KADHAA WATU WAMEPIGWA HADI MIKWAJU KWA KUJARIBU KPUUZIA MARUFUKU ZILIZOTOLEWA! TZ HATUKUTOA MARUFUKU TULIKUWA TUNATOA TAHADHARI NA ANGALIZO.
😂😂corona hakuna Tanzania, labda useme NEMONIA.
Mwenye macho haambiwi tazama. Tembelea hospitali zote kubwa hapa nchini utaona madaktari wanavyojikinga dhidi ya gonjwa hili. Akili za mbayuwayu changanya na zako.Let's call a spade as it is suppossed to be, and not a big spoon of its own kind as per value judgment of some ignorant people.
Madktari wanaongea kwa uwazi na kuthibitisha kisayansi kuhusu kuongezeka kwa tishio na changamoto hii ya gonjwa la mapafu hapa nchini hivi sasa. Wataalamu wa wizara ya afya wanaogopa na kukosa ujasiri wa kufanya hivyo. Sijui tatizo hata ni nini!
Hivi kuna heshima gani ktk kuficha maradhi? Je! Ni uzalendo kuficha maradhi yanatunyemelea kama taifa ili kimmfurahisha mtu mmoja mwenye mamlaka ya kikatiba juu yetu?
Sasa wazee wakifa si ndo vizuri.wakapumzike
Mmoja wao ni mzee baba mwenyewe. Kwa jina kamili "jiwe."
Atakuwa pia amekusikia maana umemzukia live kabisa na bila ya chenga.
Corona Ni ugonjwa wa propaganda
Wewe baradhuli uliishajiuliza wanasemaje kuwa malaria inaongoza kwa vifo vingi nchini! Kwenye kaya yenu hakuna aliyekufa kwa malaria mwaka mzima. Vivyo hivyo kwenye mtaa wenu hakuna. Huna ndugu yako jirani au mbali aliyekufa kwa malaria mwaka mzima. Lakini bado malaria inaendelea kuongoza kwa vifo!Mkuu kuna majirani zako wowote wamekufa vifo vya kutatanisha?
MABEBERU wanatuonea wivu na uchumi wetu na wanawatumia wapinzani.Corona Ni ugonjwa wa propaganda
Nahisi maombi yame expire.Hasara iliyokuja baada ya Magufuli kudanganya umma kuwa maombi ya siku tatu yameifuta Corona Tanzania ni kwamba watu hawajikingi tena wala kuchukua tahadhari!
Ndugu Ile ilikua yenyewe kwakua hatukujua,naoga saa tisa jioni unatetemeka mpaka nikaogopa leo nikikumbuka mafua makali kikohozi Cha njano naishiwa nguvu.Nakumbuka mwaka juzi 2019 mwishoni watu tuliumwa sana na hadi leo hatujajua ni nini kilikuwa chanzo, ila kama hali hiyo ingetokea mwaka jana hadi mwaka huu basi tungerahisisha tu kuwa ni corona.
Pole mkuuHii kitu (COVID-19) imenilaza hospital kwenye oxygen for 3 weeks December 2020
Sasa ni dhahiri wewe ni mpumbavu. Kila kitu ameanika wazi kabisa. Ameeleweka vizuri sana. Tashwishwi haikubaki hata chembe. Bado unaleta upumbavu wako ukiuita bandiko! Hizi sampuli zako humu jf mnatafuta nini hasa? You're a foolish skunk!Mmebaki kusema MTU WANGU WA KARIBU kama ni kweli kwa nini usianike ukweli hapa jamii ielewe.
Hii kauli ni dalili tosha kuthibitisha umbea!
Maisha ya rais siku zote ni ya kujificha tu hata akiwa Dodoma au Dar maisha yake ndio yaleyale na shughuli zake ndio zilezile hata akiwa kwingineko.Mwenzenu kaenda kujificha kwao a.k.a Paradiso ya Bongo, Kama alivyofanya COVID19 ikipoibuka March 2020
Duuhh kweli we need to take precautions,Kuna mashine ya mvuke unawekewa ila kiloki kiking'ang'ania una CPwaa
Ndivyo ilivyooNahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO...WATAKWAMA
Na huu ugonjwa unaogopeka kuliko hata wenyewe ulivyo kiuhalisia,hatari ya huu ugonjwa ni jinsi unavyoambukiza ila wanaopona ni wengi kuliko wanaokufa ni tofauti na Ebola ila pia corona bado haijafikia idadi ya vifo vya magonjwa kama malaria hadi muda huu.bora wakae kimya tu maana presha wengine zitaludi kama mwanzo bora kudondoka mute mute..presha ni mbaya kuliko corona lenyewe.