#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Hawataki hili swala liongelewe Wala lijadiliwe mahali popote pale abadan😭
1611440814488.jpeg

Tunavyoonekana kwenye uso wa dunia.
 
Corona ipo, ila haiuwi kivile. Kati ya watu 100 mmoja atakufa. Kuna zaidi ya 99% survival rate.

Ukiwatia hofu watu, ukiwafungia ( lockdown), wengi watakufa kwa hofu, chakula kuilisha familia, polisi, stress, depression, lonelyness.
 
COVID is a public health issue, wizara ya afya ina mandate ya kuielimisha jamii.
Waziri mwenyewe ndiyo kama mnavyomuona,hawezi kumuangusha headmaster wa nchi ambaye anaamini hatuna kovidi.....chamsingi ni kila mtu aanze kuchukua tahadhali kwenye family level,then kila mtu itamfikia.....kuna rafiki yangu Muhindi Baba yake tumemchoma juzi tu alifia Hindu mandal kwa pneumonia,nilibahatika kufika pale kuna nesi akaniambia mwanangu kaa nao mbali hao,wanamoto........
 
Unajua kukiwa na lockdown kodi zako zitaongezeka maradufu. Utalipa kwa miaka kama kumi.

Ukitoka nyumbani kwako polisi wanakusumbua. Ugonjwa wenyewe unabadilika kila siku. Kuna South African variety which doesn't respond well to current vaccine.

Kwa miaka mingapi unajifungia?
 
Kwani tahadhari za kuchukua dhidi ya COVID ni kujifungia tu? Umeona hamasa yeyote ya watu kunawa mikono kila mara au kutembea na sanitizer/ kuvaa barakoa.

Katika matatizo ya kiuchumi ndiyo maana tunapata misaada na mikopo ili tuweze kupambana na ugonjwa.
 
Hivo vitu ni common sense. Unajua kuna ugonjwa, uwe makini.

TB, Malaria, UTI, magonjwa mengi tunachukua tahadhari.
 
Hakuna common sense wakati Watanzania tunaendelea kuaminishwa kwamba hakuna COVID-19 nchini. Hata baada ya UK kupiga marufuku Watanzania kuingia UK Serikali imeamua kuwa kimya kabisa. Hivi kuna faida ipi ya kuendelea kusema uongo huku vifo vinavyosababishwa na COVID-19 vikizidi kuongezeka?

Kaikimbia Dodoma kwa wiki ya nne sasa kwa sababu kule ugonjwa umepamba moto, kwanini aendelee kusema uongo ambao unasababisha maambukizi kuwa makubwa?
vitu ni common sense. Unajua kuna ugonjwa, uwe makini.

TB, Maleria, UTI, magonjwa mengi tunachukua tahaedhari.
 
Muhimu tahadhari, ila kusimamisha uchumi wako, kipato chako, kuambiwa usitoke nje, kwa mwaka mmoja nani atakulisha? sio lazima kuiga kila kitu. Angalia mazingira yako.

Binadamu ana uwezo wa ku-adapt and survive. Herd immunity, tahadhari, vitasaidia.
 
Hakuna common sense wakati Watanzania tunaendelea kuaminishwa kwamba hakuna COVID-19 nchini. Hata baada ya UK kupiga marufuku Watanzania kuingia UK Serikali imeamua kuwa kimya kabisa. Hivi kuna faida ipi ya kuendelea kusema uongo huku vifo vinavyosababishwa na COVID-19 vikizidi kuongezeka?

Kaikimbia Dodoma kwa wiki ya nne sasa kwa sababu kule ugonjwa umepamba moto, kwanini aendelee kusema uongo ambao unasababisha maambukizi kuwa makubwa?
Bak tunajua Covid ipo. Usiangalie Rais anafanya nini. Jiongeze.

Wewe ungekuwa Rais ungefanya vipi?
 
Waziri mwenyewe ndiyo kama mnavyomuona,hawezi kumuangusha headmaster wa nchi ambaye anaamini hatuna kovidi.....chamsingi ni kila mtu aanze kuchukua tahadhali kwenye family level,then kila mtu itamfikia.....kuna rafiki yangu Muhindi Baba yake tumemchoma juzi tu alifia Hindu mandal kwa pneumonia,nilibahatika kufika pale kuna nesi akaniambia mwanangu kaa nao mbali hao,wanamoto........
Amuangushe halafu watoto wake waendeje chooni 🤣
 
Kuna Watanzania mamilioni wanaamini uongo wa jiwe hawachukui hatua zozote za kujikinga, misongamano kwenye nyumba za ibada, mabaa, na sehemu za starehe kila mkoa nchini. Yeyote yule anayeendelea kutuaminisha uongo kuhusu kutokuwepo kwa Covid-19 nchini ni MUUAJI.

Back
Top Bottom