Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Did we have South African Covid at the beginning?Second wave ipi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Did we have South African Covid at the beginning?Second wave ipi wewe
Wewe ungekuwa Rais wa JMT ungechukua hatua gani?Kuna Watanzania mamilioni wanaamini uongo wa jiwe hawachukui hatua zozote za kujikinga, misongamano kwenye nyumba za ibada, mabaa, na sehemu za starehe kila mkoa nchini. Yeyote yule anayeendelea kutuaminisha uongo kuhusu kutokuwepo kwa Covid-19 nchini ni MUUAJI.
Virus mutate ( wanabadilika)all the time.Did we have South African Covid at the beginning?
Maji tiririka ni anasa huko vijijini.Nafikiri tunaogopa kukumbushiwa matumizi ya zile EURO, tulizosikia za awamu ile!
Sielewi kwanini hakuna elimu ya amsha amsha ya tahadhari kwa jamii.
Ila taratibu maji tiririka ndoo zimeanza kurudishwa. Sasa sijui kuna vimemo vya chini chini vy a Private&Confidential?!
Everyday is Saturday............................... 😎
But the mode of transmission is still the same.Virus mutate ( wanabadilka)all the time.
Sky, wewe ni Rais wa Tanzania ungefanya vipi? Tumeona Wakenya maskini walivyo onewa.But the mode of transmission is still the same.
Akatazwe kupanda madhabahuni na kuongea uwongo. Nyerere na Mkapa hawakuwahi kutumia madhabahu kama majukwaa ya kisiasaHakuna common sense wakati Watanzania tunaendelea kuaminishwa kwamba hakuna COVID-19 nchini. Hata baada ya UK kupiga marufuku Watanzania kuingia UK Serikali imeamua kuwa kimya kabisa. Hivi kuna faida ipi ya kuendelea kusema uongo huku vifo vinavyosababishwa na COVID-19 vikizidi kuongezeka?
Kaikimbia Dodoma kwa wiki ya nne sasa kwa sababu kule ugonjwa umepamba moto, kwanini aendelee kusema uongo ambao unasababisha maambukizi kuwa makubwa?
Ninakumbuka kipindu pindu kililipuka Tanzania nilikua mdogo. Kulikua na quarantaine kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine..Sky, wewe ni Rais wa Tanzania ungefanya vipi? Tumeona Wakenya maskini walivyo onewa.
Tunaweza kupambana na corona kwa kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima kama baa na restaurant. Watu wanunue bia na kunywea nyumbani.Sky, you are right. Lakini mazingira yetu maisha yetu, hali halisi, ni tofauti.
Kuishi bila kipato kwa mwaka mzima sio mchezo. Wengi watakufa kwa kutopata kipato.
Hawataki hili swala liongelewe Wala lijadiliwe mahali popote pale abadan[emoji24]
All good ideas. Lakini angalia biashara zitazokufa. Watu wengi kupoteza ajira. Uchumi kushuka sana.Tunaweza kupambana na corona kwa kupunguza mikusanyiko isiyo ya lazima kama baa na restaurant. Watu wanunue bia na kunywea nyumbani.
Mama ntilie wauwe take away kwa Instagram. Au wawape nafasi wateja..
Kunawa mikono kila mara na kuvaa barakoa.
How do you expect enomic prosperity while you are facing high a high mortality rate?All good ideas. Lakini angalia biashara zitazokufa. Watu wengi kupoteza ajira. Uchumi kushuka sana.
How do you expect any prosperity at all,any progress where all people are dead with hunger. Maskini wa kutupwa. Kisa wamefungiwa kufanya biashara halali.How do you expect enomic prosperity while you are facing high a high mortality rate?
Muhimu tahadhari, ila kusimamisha uchumi wako, kipato chako, kuambiwa usitoke nje, kwa mwaka mmoja nani atakulisha? sio lazima kuiga kila kitu. Angalia mazingira yako.
Binadamu ana uwezo wa ku-adapt and survive. Herd immunity, tahadhari, vitasaidia.