Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nasikia Msigwa wa Ikulu nae tayari kanaswa
Its happening...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Msigwa wa Ikulu nae tayari kanaswa
Anajificha kwani yeye kakakuona? Kwanini kila Mara yatokeapo maambukizi makubwa ya korona hukimbilia Chato?Maisha ya rais siku zote ni ya kujificha tu hata akiwa Dodoma au Dar maisha yake ndio yaleyale na shughuli zake ndio zilezile hata akiwa kwingineko.
Unajuje kama sio Propaganda za wazungu?Ila wabongo ni wabishi mnoo..... Sasa kama dunia nzima kuna corona kipi cha ajabu TZ ikiwepo? Kwani sisi ni special sana kuliko mataifa mengine au tumefunga mipaka kwamba hawawezi kuteletea?
Na ndio maana mtoa mada kasema kwakuwa kuna doubts ni vzuri serikali either ikanushe au ikubali ili watu wachukue hatua stahiki. It's that simple kuliko kukaa kimya wakati rumours za second wave zipo kitaani
Ndugu yangu hao ni timu ''wapumbavu''. Kama alivyo baba yao kichwani hamna kitu. Ni wa kupuuza kwani hawana upeo wa kuwaza futi moja mbele.
Unajua hawa jamaa wanaudhi kupita maelezo. Jambo serious wao wanaleta mchezo. Jambo hatari wao wanakuja na utani wa simba na yanga. Hapa ni kifo aina ya mdondo kwa kuku. Umewafungia kuku wako mia tano jioni wazima. Asubuhi huna kuku hata mmoja. Kibudu!Ndugu yangu hao ni timu ''wapumbavu''. Kama alivyo baba yao kichwani hamna kitu. Ni wa kupuuza kwani hawana upeo wa kuwaza futi moja mbele.
Hilo la kukimbilia chato unalisema wewe na ndio ungefaa kueleza kwanini umefikiri kakimbilia huko kujificha kwani huko chato ndio corona inaogopa kwenda ama vp? Au akienda Chato ndio hafanyi majukumu yake ya kawaida anajifungia ndani tu haonani na watu kuogopa corona?Anajificha kwani yeye kakakuona? Kwanini kila Mara yatokeapo maambukizi makubwa ya korona hukimbilia Chato?
Hakuna binadamu timamu anayeweza kuandika huu upuuzi. Wewe lazima ni sukule au roboti.Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO...WATAKWAMA
Kweli wafia mbogamboga na jiwe ni misukule.We pumbaf kweli Kwanza tuambie wewe una Corona, au Kuna ndugu yako gani ana Corona tupe ushuhuda alafu uje umwage ushuzi wako Hapa...wewe ni dini gani jomba..huna Imani hata chembe hufai kuitwa Mtanzania..nenda kaishi na barakoa Ulaya kule naona unatuletea uzi wa kijinga
Akili ya kisukule ya mbogamboga.Mkuu kama kweli ipo na inauwa sana watu kwanini sasa tuwe tunabishana humu? yani mie nifiwe na ndugu na jamaa zangu huku nikijua kwa sababu ya corona halafu nije humu kabisa niseme hakuna corona? au naona kabisa eneo nalokaa watu wanaugua isivyo kawaida na wengine wanakufa halafu nije nipinge humu mashaka ya uwepo wa corona?
Hivi kweli nikifanya nakuwa na akili ya aina gani au kwa kumfaidisha nani?
Kuna maradhi ya kuficha lkn sio Corona. Kama kweli Corona ni HATARI na IPO basi TANZANIA ingekua Nchi inayoongoza kwa vifo duniani.Kuanzia mikutano ya ccm hadi mikutano ya kampeni na uchahuzi wake,hayo yote yamefanyika bila tahadhari zozote kwa nature ya huu ugonjwa sasa hivi ilitakiwa tuone hospitali zimezidiwa wagonjwa.
Ila ndio hivyo mtu halioni hilo wameshikilia tu tunatetea ujinga sijui tunaficha maradhi.
Propaganda ili iweje? Kwani akitaka propaganda si anaweza wachoma sindano watu hta 100 zenye virusi vya Covid.... mtazuiaje? Wkt chanjo kibao wanawapa bure? Ndio waje kuhangaika na maneno matupu?Unajuje kama sio Propaganda za wazungu?
Hawataki hili swala liongelewe Wala lijadiliwe mahali popote pale abadan😭Kama hakuna vipimo vya kuonyesha idadi ya maambukizi, vifo na waliopona ni vigumu kuamini kuwa hakuna tatizo la COVID Tanzania.